duh, wengine watasema amevaa bullet proof
timu hiyo lazima aithamini
sana coz ndo majirani zake uko serengeti kwenye hotel yake ya
kifisadi,so anajaribu kuwa sehemu yao kama mwanajamii wa
serengeti.
asante muangaliziCorporate Social Responsibility.
huyu mzee anaudhalilisha sana urais .....
muangalizi wa nini tena?asante muangalizi
akipozi na timu ya Serena Lodge katika ligi ya mchangani-michuzi blogView attachment 76772
.......ama kweli wewe mchambuzi............nimecheka sana kimoyomoyokwa iyo wapo mapumzikoni na uyo mzungu hapo??
President Barack Obama and First Lady Michelle Obama visited with members of the military and families at Anderson Hall at Marine Corps Base Hawaii on Christmas Day. Rais Kikwete akipozi na timu ya Four Seasons ya Huko Serengeti ambako alikua mgeni Rasmi ktk Fainali ya Soka, Mh Rais yuko likizo fupi ya mwishoni mwa mwaka kama ilivyo ada...hisani ya michuzi blogView attachment 76771