Hili ndio bao pekee analoweza kuwafunga marais wote waliotangulia na kuingia kwenye historia ya vizazi vya vizazi,kumkumbuka kwamba alikuwapo rais anaitwa jakaya mrisho kikwete ndio alieleta mapinduzi haya tunayoyafurahia leo,alikua na mambo mawili,kuipatia tanzania umeme wa uhakika kupitia mradi wa stieglers gorge mfupa ambao umewashinda marais wote akiwaemo nyerere ambae angalau alianzisha japo aliishiia njiani na hili la kuipatia tz katiba ya kisasa,la umeme kishalipoteza kwa sasa hii ndio ngumi yake ya mwisho ya ushindi.