Ruhlamin kiwango
Member
- Mar 5, 2015
- 28
- 9
endeleeni kuota kuwa mtaitoa ccm madarakani
CHADEMA kupata kura za wazanzibari na waislamu ni ndoto.Tafuteni ubunge tu uraisi bado kabisaaaa
Mwenyekiti wa ccm jakaya kikwete anatarajia mwishoni mwa mwaka huu kuweka rekodi mpyaa kabisa tangu kuwepo kwa nchi hii. Rekodi ya kwanza ni ile ya kuwa mwenyekiti wa kwanza wa chama cha mapinduzi kikiwa chama upinzani. Na rekodi ya pili ni atakuwa rais mstaafu wa kwanza hapa tanzania kuwa mwenyekiti wa chama cha upinzani.
Hongera kikwete kwa rekodi ya kipekee tofauti na marais waliokutangulia.

Aliondoka gadaf wa libya na sadam hussein wa iraq ishindikane kwa ccm .ogopa wanaume wakizidiana kiuchumi .hakuna ccm mwenye uwezo wakujenga jamii oliyo sawa nchini..
Mpaka mje muitoe CCM madarakani, itabidi muongeze juhudi. Sio kuongea tu mitandaoni, huwezi kuwa na tume ya uchaguzi chini yako halafu upoteze uchaguzi. Hayo mambo aliambiwa Kaunda na Nyerere wakati aliposusa kula akiwa jela.
Yanaweza yasiwe ya busara kwako, ila kwa wengine yanaweza yakawa ya kuzingatia. Usipende maneno matamu, penda yenye ukweli.Sasa hayo maneno ya Nyerere ni ya busara kweli?!
Tanzania bila ccm inawezekana ,tatizo watanganyika wengi wanafikra za mgando kama ninyi mliopost negative kuhusu upinzani kwenye huu Uzi,ki ukweli Mimi hata upinzani wasimamishe jiwe Mimi nitalipigia kura jiwe.