Kikwete kuweka rekodi mbili mpya ya kihistoria

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,551
Reaction score
8,310
Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete anatarajia mwishoni mwa mwaka huu kuweka rekodi mpyaa kabisa tangu kuwepo kwa nchi hii. Rekodi ya kwanza ni ile ya kuwa mwenyekiti wa kwanza wa chama cha mapinduzi kikiwa chama upinzani. Na rekodi ya pili ni atakuwa rais mstaafu wa kwanza hapa tanzania kuwa mwenyekiti wa chama cha upinzani.
Hongera Kikwete kwa rekodi ya kipekee tofauti na marais waliokutangulia.
 
Mwenyekiti wa ccm jakaya kikwete anatarajia mwishoni mwa mwaka huu kuweka rekodi mpyaa kabisa tangu kuwepo kwa nchi hii. Rekodi ya kwanza ni ile ya kuwa mwenyekiti wa kwanza wa chama cha mapinduzi kikiwa chama upinzani. Na rekodi ya pili ni atakuwa rais mstaafu wa kwanza hapa tanzania kuwa mwenyekiti wa chama cha upinzani.
Hongera kikwete kwa rekodi ya kipekee tofauti na marais waliokutangulia.

Endelea kuota ,
 
Ukiwa mjinga kumbe unaweza kuchelewa kuelimika kabisa haya amini hivyo.
 
Mwenyekiti wa ccm jakaya kikwete anatarajia mwishoni mwa mwaka huu kuweka rekodi mpyaa kabisa tangu kuwepo kwa nchi hii. Rekodi ya kwanza ni ile ya kuwa mwenyekiti wa kwanza wa chama cha mapinduzi kikiwa chama upinzani. Na rekodi ya pili ni atakuwa rais mstaafu wa kwanza hapa tanzania kuwa mwenyekiti wa chama cha upinzani.
Hongera kikwete kwa rekodi ya kipekee tofauti na marais waliokutangulia.

CHADEMA kupata kura za wazanzibari na waislamu ni ndoto.Tafuteni ubunge tu uraisi bado kabisaaaa
 
Mpaka mje muitoe CCM madarakani, itabidi muongeze juhudi. Sio kuongea tu mitandaoni, huwezi kuwa na tume ya uchaguzi chini yako halafu upoteze uchaguzi. Hayo mambo aliambiwa Kaunda na Nyerere wakati aliposusa kula akiwa jela.
 
Labda kama kunakikwete wa tengeru.
 
Mpaka mje muitoe CCM madarakani, itabidi muongeze juhudi. Sio kuongea tu mitandaoni, huwezi kuwa na tume ya uchaguzi chini yako halafu upoteze uchaguzi. Hayo mambo aliambiwa Kaunda na Nyerere wakati aliposusa kula akiwa jela.

wachache wenye kuona umbali kama huu wanadhani kuondoa chama tawala ni mandamano na kususia bunge.
 
Haitakuwa mara ya kwanza kutokea
 
Nashindwa kuelewa povu la niniiiiiiiii sasa
 
CHADEMA kupata kura za wazanzibari na waislamu ni ndoto.Tafuteni ubunge tu uraisi bado kabisaaaa

Kwahiyo ni sawa na kusema CCM kupata kura za Wakristu haiwezekani kabisaaa na sasa hivi labda Gurumo afukuzwe kazi.:whoo::whoo::whoo:
 
Mpaka mje muitoe CCM madarakani, itabidi muongeze juhudi. Sio kuongea tu mitandaoni, huwezi kuwa na tume ya uchaguzi chini yako halafu upoteze uchaguzi. Hayo mambo aliambiwa Kaunda na Nyerere wakati aliposusa kula akiwa jela.

mkuu umenena sahihi,hawa wapinzani walitakiwa kuhakikisha kunakuwa na tume huru ya uchaguzi kwanza,then wajipange kwa kwenda kwa wananchi kuuza sera zao,na si kubaki mitandaoni na mijini tu.
Hata hayo mawili yakifanywa,bado kwa upinzani kupata kura za kutosha za uraisi kwa term hii kwani muda walionao kwenda kwa wapiga kura wengi (vijijini) ma kuwaamsha ni mdogo saana.
 
Malizia kiroba kilicho baki halafu uwendelee kuota sisi tunajua mapinduzi daima ccm oyeeeee
 
Hilo tu linaweza kunfanya awe pia rais wa kwanza kuliingiza taifa katika machufuko. Rejea kauli zake....'siwezi kuwaachia nchi wapinzani....sherehe za kuzaliwa ccm 2013 Kigoma na baadhi ya matukio ya matumizi ya nguvu kuwai kuonekana nchi hii mfano polisi kupiga raia na baadhi ya waarifu kupandishwa vyeo...mfano Kamuhanda na M/kiti vijana ccm taifa.

Tunako kwenda pagumu....tulipotoka pagumu.....
 
mkuu umenena sahihi,hawa wapinzani walitakiwa kuhakikisha kunakuwa na tume huru ya uchaguzi kwanza,then wajipange kwa kwenda kwa wananchi kuuza sera zao,na si kubaki mitandaoni na mijini tu.
Hata hayo mawili yakifanywa,bado kwa upinzani kupata kura za kutosha za uraisi kwa term hii kwani muda walionao kwenda kwa wapiga kura wengi (vijijini) ma kuwaamsha ni mdogo saana.
waende kwa wapiga kura mara ngapi....ccm iko madarakani sio kwa matakwa ya wapiga kura,bali ni kwa matakwa ya nguvu ya dola na kubariki rushwa na wizi wa kura.
ushahidi ni juzi tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na jinsi ccm ilivyongukia pua huko huko vijijini mnapojivuni kili mara kwamba ni ngome za ccm.
matokeo yake ni aibu kubwa iliyowapata hadi kutumia nguvu kuahirisha au kuvuruga uchaguzi pale mlipohisi kushindwa na hata pale mlipopoteza mitaa wanayoishi vigogo wa ccm,mlilazimisha kuwaapisha wale walioshindwa kwa mitutu ya bunduki tena hata usiku bila aibu.
huo ni utangulizi tu lakini mziki kamili waja:cheer2::cheer2:
 
Back
Top Bottom