Kikwete: Kuna watu wana mitambo ya kufyatua uongo

Kikwete: Kuna watu wana mitambo ya kufyatua uongo

Leo Dodoma Magufuli anaenda kusimikwa kuwa mwenyekiti wa CCM.Katika vikao vya awali kumekuwa na lugha gongana kwa mwenyekiti anayetoka na anayeingia.Na hapa ndipo unaweza kuona CCM walishakatika mishipa ya aibu.Katika kipindi chote cha utawala wa Magufuli,Magufuli amekuwa akituaminisha serikali iliyopita ilijaa majizi na mafisadi,kila kitu ilikuwa hewa!!Leo huko Dodoma Kikwete anasema serikali ilikuwa makini sana na imefanya mambo mazuri ndio maana wananchi wameichagua. Mie mpaka nachanganyikiwa
 
Karibia watanzania tutaanza ku export uongo, zao kuu kwa sasa, zamani tulikua tunaexport uongozi.
 
Haitotokea BAVICHA wakamsifia au kupongeza jema lolote la Rais Kikwete. Chuki yao inatokana na kushindwa uchaguzi kwa Mamvi ambaye walitegemea wangepata nafasi za kazi za uteuzi za kisiasa.

Ukweli usiopingika wengi wao hawapo vizuri upstairs na ushahidi upo katika uwasilishaji au uwezo wa kujibu hoja.

BAVICHA hawataa wampende, wakiwa na njaa ndio kabisa akili zinawaruka hadi kutoa matusi kwa watu wasiohusika.
Ukichanganya na ugalatia
 
CCM wanavipaji vya kutosha wachekeshaji,wapenda sifa,wapotoshaji, leo nimecheka baada ya kuwaona Nape,Sendeka na makonda..hahaha hawa wote bingwa wao JK.
 
OTE="Ndallo, post: 16941206, member: 27212"]Nimesikia baraza la Mashehe linampango wa kumtangaza kuwa naye ni mtakatifu[/QUOTE]
Toa UK AF*iri wako mb*wa wewe usihusishe imani name mambo yenu ya siasa uchwara
 
I think he is right just like old "mapanga shaashavof CUF; Chadema ya wachaga" etc"
 
Kikwete amemuua Lowassa kisiasa huku akitabasamu.

Nguvu ya Lowassa aliyoikusanya kuanzia mwaka 1992 ilisambaratishwa kwa gharama ya hii kalamu;
03-BICcristal2008-03-26.jpg
Ulikuwa mtakaso mtakatifu na kwa tendo hilo dhambi zake zote za ufisadi zilitakaswa
Adumu milele kwenye usafi Jk
 
hatari niionayo muda unaweza kuisha kwa kuhakiki tu, bila kwenda mbele
 
Back
Top Bottom