Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
kama ni kujiuzulu Kikwete anastahiki kutangaza mara moja amejiuzulu ,yaani kesho ajitokeze na kutangaza ,ni aibu kuendelea kuitwa Raisi wa nchi ,kwa sababu Raisi inakuwaje alalamike kwenye majukwaa kwamba fulani anefuatana na Lissu ndie fisadi linalohusika na Richmond ,
Na Lisu nae amemjibu Kiwete kwamba yeye ndie anaemiliki dili la richmond ,raisi ameshindwa tena ameshindwa katika dakika za mwisho.
Sijui tuitishe maandamano Nchi nzima kumutaka raisi ajiuzulu kwa kuwa anajibizana kwenye majukwaa baada ya kuchukua sheria.