Jana nimeangalia kwenye TV TBC, Lowasa alikuwa anapinga initiative ya rafiki yake kuhusu kilimo kwanza, anasema yeye anaamini elimu kwanza, kilimo baadae, inawezekana akawa na point, lakini mbona hakuyasema haya alipokuwa serikalinini? make wimbo wa kilimo kwanza JK kauanzisha siku nyingi.

safari ya kuelekea ikulu ni ngumu hivyo yamuhitaji amponde hata rais wa sasa ili kufanikisha ajenda yake.wananchi amkeni msije ingia kwenye huu mtego.
siungi mkono hoja hii kwani suala la shule za kata changamoto zake zajulikana na naamini with tym zitaisha.naomba ujue lowassa hana nia njema kwa sisis wananchi kwani nia yake ni urais tuu.atasema lolote kutulaghai ili aingie magogoni.Kama tutabakia na ufupi wa kufikiri kwamba kila jambo zuri linasababisha mtu kuwaza kuwania madaraka bila shaka hata wewe tutasema unawaza safari ya 2015. Hoja aliyotoa ina mantiki maana nani hajui kuwa shule za kata ziliachwa na kutelekezwa kwa kuwa watu fulani walikuwa wakisema unajua shule hizi zikifanya vema atapata credit Lowassa. Kwani huna taarifa kuwa hilo ndilo lililozaa Kilimo Kwanza ikiwa ni lengo la kusahaulisha Elimu kwanza ambayo ndiyo ilikuwa sera ya kwanza ya wamu hii. Hate him but his credit muachie.
Jana nimeangalia kwenye TV TBC, Lowasa alikuwa anapinga initiative ya rafiki yake kuhusu kilimo kwanza, anasema yeye anaamini elimu kwanza, kilimo baadae, inawezekana akawa na point, lakini mbona hakuyasema haya alipokuwa serikalinini? make wimbo wa kilimo kwanza JK kauanzisha siku nyingi.
Ni kweli lowasa alikuwa na maovu yake tena mengi tu ila ukwel si kwamba hakuwa na mazuri na alipokuwa madarakani aliisimamia elimu na hasa katika shule za kata hata kama hazina mafanikio makubwa lakini zitakuja kutengemaa hapo baadae lakini kuliko ubaya wa wake unalinganishwa na kilimo kwanza?
Kilimo kwanza cha jk ni hofu ya kuporomosha uchumi ukizingatia unalima nini? nani mkulima wa leo nyakati ambazo wimbi la vijana lipo mjini? mazao gani na yenye tija gani? hayo mazao unauza wapi,kwa mlaji wa ndani au nje? miwa inalimwa wapi na sukari anakula nani? na anayekula sukari ni kwa bei ipi? hizi ruzuku zinashusha uchumi na ni bora ziwekezwe kwenye elimu.
Jk anashindwa kuelewa hata huko china, ufilipino na vietnam walijua kilimo ni kukuza uchumi ila leo hii bado wanazo fikra hizo? au wamebaki kupindua muono upande mwingine? mawazo yake ni sahihi lakini naona hayana tija kabisa......elimu kwanza ni best ila ni lazima pia iwe na tija.
mipango bora ni kujifunza hata kwa wengine
Jana nimeangalia kwenye TV TBC, Lowasa alikuwa anapinga initiative ya rafiki yake kuhusu kilimo kwanza, anasema yeye anaamini elimu kwanza, kilimo baadae, inawezekana akawa na point, lakini mbona hakuyasema haya alipokuwa serikalinini? make wimbo wa kilimo kwanza JK kauanzisha siku nyingi.
Sikubalian na wewe hata kidogo, rafiki jielimishe na uboreshe kumbukumbu zako.Kama tutabakia na ufupi wa kufikiri kwamba kila jambo zuri linasababisha mtu kuwaza kuwania madaraka bila shaka hata wewe tutasema unawaza safari ya 2015. Hoja aliyotoa ina mantiki maana nani hajui kuwa shule za kata ziliachwa na kutelekezwa kwa kuwa watu fulani walikuwa wakisema unajua shule hizi zikifanya vema atapata credit Lowassa. Kwani huna taarifa kuwa hilo ndilo lililozaa Kilimo Kwanza ikiwa ni lengo la kusahaulisha Elimu kwanza ambayo ndiyo ilikuwa sera ya kwanza ya wamu hii. Hate him but his credit muachie.
Katika bajeti ya Tanzania, tunaambiwa Elimu inaongoza kwa kupewa fedha zaidi ktk bajeti, hapa napata wazo la Elimu Kwanza (ili hali ubora bado duni), lakini upande wa pili, viongozi wetu wa juu serikalini wanatuhubiri Kilimo kwanza, hapa tena napata wazo la Kilimo kwanza (ili hali bado kilimo kinategemea mvua)Jana nimeangalia kwenye TV TBC, Lowasa alikuwa anapinga initiative ya rafiki yake kuhusu kilimo kwanza, anasema yeye anaamini elimu kwanza, kilimo baadae, inawezekana akawa na point, lakini mbona hakuyasema haya alipokuwa serikalinini? make wimbo wa kilimo kwanza JK kauanzisha siku nyingi.