dhahabuinang'aa
Senior Member
- Aug 10, 2011
- 134
- 28
Magazeti mengi leo yametoka na habari kuwa
mwenyekiti wa taifa ccm anaundiwa mpango wa kumung'oa
ili wakinusuru chama chao ina maanisha hawana imani nae tena
je na sisi watanzania ambae hatuna imani nae tufanyeje?
na kama chama kimemshinda nchi ataiweza?
Na kama wana ccm wenzake wamekosa imani nae!
je watanzania wa kawaida hio imani itatoka wapi?
tuliangalie kwa umakini kwa maslahi ya taifa letu
Na jee watanzania tuacha lini kuchagua mtu bila kuangalia uwezo wake?
uwezo wa kikwete ni mdogo na hili lilijulikana toka mwanzo
ila ccm wenyewe wanadai hata wakiweka juwe eti lazma lishinde!
Kwa maana hio kila uongozi ni kwa matakwa ya ccm na sio wananchi
watanzania tubadiklike na tuwe na uchungu na nchi yetu!