Jibu hoja kwa hoja na sio kuleta mipasho!
Hebu eleza uongo ni upi hapo?
Kwanini tusiamini wewe mchangiaji ndio muongo?
Sometimes bora kukaa kimya kuliko kuleja hoja dhaifu kujibu hoja nzito.
Rais wako wa kaskazini anafanya poa kwahiyo tuachie Rais wetu.
Kwa namna mlivyopost majibu kwa haraka ni wazi mlisoma heading tu na kuamua kujibu thread nzima.
Hii post haihusiani na CHADEMA wala kundi lolote, inahusiana na Maongozi ya nchi na udhaifu wa mamlaka ktk kutimiza wajibu wake.
Leteni hoja KWANINI ASIJIUZULU?
Wote ni uongo, majungu, ufataani, uzandik na uzushi. Kuna hoja hapo?
Kuna Watanzania ambao wanajiona wana HAKI zaidi ya wengine.
Huu ni ubaguzi wenye mizizi na chanzo kinachojulikana
Eti ondoka Tanzania! haondoki mtu hapa nchi ni yetu sote.. wanaoiboronga siyo kwamba ndo wenye nayo, afterall cheo ni dhamana, leo huyo kesho yule.Wewe rais wako si ndo Slaa? kama unaona mambo hayakupendezi ondoka Tanzania.
Kwa hiyo neno hilo ndo limepelekea viongozi kuiba mali ya umma?Tutahakikisha NCHI HAITAWALIKI hiyo ndiyo chagizo ya peoples
Kwa namna mlivyopost majibu kwa haraka ni wazi mlisoma heading tu na kuamua kujibu thread nzima.
Hii post haihusiani na CHADEMA wala kundi lolote, inahusiana na Maongozi ya nchi na udhaifu wa mamlaka ktk kutimiza wajibu wake.
Leteni hoja KWANINI ASIJIUZULU?
utamuota sana Dr Slaa mwaka huu utalijua jiji usikonde na bado kitambo kidogo utachekea chooniWewe rais wako si ndo Slaa? kama unaona mambo hayakupendezi ondoka Tanzania.