wivu tu..............mnafatafata mambo ya wenzenu wacha tule vya kwetu..............yaani mi kusafiri kwenda kuwatengezeeni madili majuu mnaona nafaidi sana eeehh........
hata hivo niacheni jamani nimefaiti sana kupata urais nilichokitafuta na kubaniwa kwa muda mreu sasa nimekipata mnataka nisuburi nini kula nchi???????????????????watz kwa wivu bana mnaacha kufanya shughuli zenu japo wakati wa uchaguzi nitawaomba muache shughuli zenu lakini sio kwa sasa niacheni jamani mimi ndio jk na hii ndiyo nchi niliyopigania kupata nafasi ya kuongoza.......................
nikienda marekani oh rais kaenda marekani.....
nikikaa kidogo kwenye bembea ohh rais kaenda kustarehe...........
acheni jamani jalini maisha yenu na ya watoto wenu niacheni kama nilivyo.....
BADO SIJASAHAU KUWAPATIA MAISHA BORA KWA KILA MBONGO....
Meanwhile, Mbeya Regional Commissioner John Mwakipesile has announced postponement of President's two-day tour of his region following Kikwete's invitation to Namibian independence celebrations.
The President was initially scheduled to start a tour of Mbeya Region tomorrow, the same day he is expected back in the country.
SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
Vipi best umeamua kuwa K'wete?wivu tu..............mnafatafata mambo ya wenzenu wacha tule vya kwetu..............yaani mi kusafiri kwenda kuwatengezeeni madili majuu mnaona nafaidi sana eeehh........watz kwa wivu bana mnaacha kufanya shughuli zenu japo wakati wa uchaguzi nitawaomba muache shughuli zenu lakini sio kwa sasa niacheni jamani mimi ndio jk na hii ndiyo nchi niliyopigania kupata nafasi ya kuongoza.......................
BADO SIJASAHAU KUWAPATIA MAISHA BORA KWA KILA MBONGO....
Hii ni aibu kubwa kwa taifa, JK alikuwa anze ziara Mbeya leo, maandalizi yalikamilika, wageni toka nje eg Kiwanda cha bia walishafika kwa ajili ya ufunguzi, wapo wa Exim Bank, booking za kwenye hoteli zimefutwa jana, jamaa wa uwt walishafika tangu Alhamis.
Kwa ufupi ametia hasara taifa na kuliabisha. Hebu tufikiri kidogo, hawa wageni toka nje wa TBL wataielewaje Tanzania kama sio Taifa la waswahili wababaishaji.
Rais anaona sherehe ya kuapishwa rais mwenzake, ambazo ziko siku zote na hata angeweza kumtuma msaidizi wake kumwakilisha, ni muhimu kuliko tukio la uzinduzi wa kiwanda ambacho ni moja ya uwekezaji mkubwa hapa nchini, ni aibu na hata tukijiutahidi kujisafisha hatusafishiki.
Acheni ushamba wa kushabikia wageni, kwani lazima hicho kiwanda kifunguliwe na rais wa nchi?
Kuna mawaziri lukuki wanaweza kufungua; hao wageni wanamtumia rais wetu kwa ajili ya biashara zao.
Kwanini wa cancel bookings zao wakati nchi ina viongozi wengine wengi wa kufanya kazi kama hiyo?
Kila kitu mpaka rais wa nchi, ndio maana anazidiwa mpaka anadondoka chini.
Vipi mkuu Campanero, huko Mbeya si alikuja mkampiga mawe, au kuna wengine bado wana hasira na yeye?Je, maandalizi ya ziara ya Mbeya yalishaanza kufanyika? Kama ndio, imegharimu fedha kiasi gani za walipa kodi?