Ninachofahamu kwa dhati ni kwamba Mama Salma sio Mke wa Kwanza Wa Rais Jakaya Kikwete. Mama huyu (ambaye kwa Taaluma ni Mwalimu) ameolewa rasmi kati ya miaka ya mwisho mwa 1980 wakati huo Rais Kikwete akiwa Waziri Wizara ya Madini, nakumbuka kwenye Harusi hiyo Juwata Jazz walitumbuiza na nilisikia Kiongozi wa Bendi hiyo Mzee Muhidin Ngurumo ana undugu wa karibu ama na Rais au Mkewe. Kipindi hicho cha harusi watoto wa Rais, Ridhiwan na Salama walikuwepo. Mkuu wa Nchi alifanya Harusi hiyo pale nyumbani kwake Regency Estate.
duh Big Lady bana unataka uwazi zaidi haya, kwani kisa cha ukoo wa nguza kwenda jela si baada ya kuona mkulu anaingiliwa tena ali injinia kabla hajawa mkulu bado.
Mkulu kwa sasa ni Mkwere
Kuingiliwa ktk anga za mapenzi na vimada.
Ukitaka uwazi zaidi ntajua we muhuni,maana utakuwa uwazi uwazi !!
Jamani Mutu asante sana mwaya. Ila jamani si ungesema sasa huyo Nguza alimuingilia kwa kimada chake kipi? Au ndiyo maneno ya mitaani hayo? Asante mwaya.
Nadhani kuwa jambo kubwa lililoanza kumletea umaarufu Kikwete miaka ya tisini lilikuwa ni insubordination fulani ambapo alitakiwa kuidhinisha nyaraka fulani akiwa naibu waziri wa maji, nishati na madini. Aliona kabisa kuwa nyaraka zile hazikuwa na maslahi kwa nchi akaamua kwenda kumwuliza Nyerere moja kwa moja huko Butiama namna ya kushughulikia nyaraka zile bila hata kumhusisha waziri wake na rais wake Mwinyi wakati huo.
Haijulikani Nyerere alimshauri vipi ila alikataa kabisa kuidhinisha nyaraka zile na kuziwekea kizingiti kikubwa sana kwa Raisi Mwinyi, jambo ambalo lilimkera sana bosi wake (Waziri wa maji na nishati) na Waziri wa fedha (Malima.) Hata hivyo kitendo kile kilifurahiwa sana na Mzee mwinyi pia akampandisha cheo kuwa Waziri Kamili wa Maji na baadaye kuwa Waziri wa Fedha.
Akiwa waziri wa fedha alibana sana mianya ya misamaha ya kodi na wafadhili (nachukia sana neno hili) wakafurahishwa sana utendaji ule na kurudisha tena imani kwa serikali ya Mwinyi. Kipindi hicho ndipo nyota ya Kikwete ilipopanda sana na kuna wakati Mwinyi alikuwa akiwajibu watu wanaoomba misamaha ya kodi kuwa " Ombi lenu ninalielewa ila sintawasaidia lolote kwa sababu Jakaya mkali"
kweli ni maneno ya mtaani ,ila maneno ya mtaani si maneno?.
Mtaani ndio ushahidi watu tunao .................... ila nadhani unaposema maneno ya mtaani unamaanisha kuwa habari zisizi na uhakika.
Ila bigi lady shuhuda wa mashuda wako mtaani na ndio wanasema haya yote.
Kuna watu wanapicha za mkulu akipiga mtungo ilala kabla yakuwa mkulu tena za video ila hiyo tunaweka pembeni ngoja tuongelee ya msingi (maana hapo hajavunja sheria ni raha zake).
Big Lady tusitoke sana nje ya mstari najua utapata hamu ya kujua mengi ila mambo mengine bora usijue mwenyewe najuta kujua hili.
Mimi nilikuwa mmoja wa mashabiki wakubwa wa Mh. Rais toka mwaka 1994 akiwa waziri wa fedha. Lakini huenda bado nilikuwa mdogo na niliwahi kusikia tu stori za huyu bwana kutoka mzee wangi au kwa watu wakaribu.
Lakini pia sikuwahi kusikia nini haswaaaa amekifanya kwa mafanikio hadi watu wakamfahamu na kuwa kipenzi cha watu. Mwenye data zake kabla hajawa rais, kikwete alifanya nini cha kujivunia kutoka kwake hadi kuwa kipenzi cha watu mwaka 1995 na 2005? sina uhakika sana na mafanikio ya Mh Rais katika utendaji wake ndo maana nataka mwenye data atujuze zaidi.
NB: Mtu anaweza kufanya kazi sehemu mbalimbali lakini mafanikio hakuna. Au kuna watu wachapa kazi lakini hawapendi kujiweka mbele mbele pia.
Naunga mkono hoja kwa 90% mkuu!!Mkapa hakuwa amefanya cha kukumbukwa alkini baada ya kuingia madarakani alifanya mengi saaana japo kulikuwa na dosari dnogo ndogo.
Henge:
Ni kweli hata mimi Nilikuwa shabiki but kwa sasa namjua kiundani Sorry sipo huko tena!
Personal
President Kikwete is a keen sportsman having played basketball competitively in school. He has been a patron of the Tanzania Basketball Federation for the past 10 years. He is married to Mama Salma Kikwete, and together they have eight children.
mkuu,hapa ipo sawa kweli??
Tena Muache kuwadanganya watu digrii ya uchumi hawezi kupata huyo hata siku moja na hana aliyonayo ni degree inaitwa Political Economy yaani siasa ya Uchumi but it is still under political science. Sasa mnahaibisha degree za watu wenye vichwa vyao makini waulize wachumi kina Lipumba ndo wanaijua Economics ni nini?
Mmmh, hii ni habari kubwa. Any way tuyaache hayo. Unafahamu chochote juu ya details za watoto wake 8 na mama zao?
Na kitu ambacho wanaome tunatakiwa kuwa makini ni ukiwa unapiga sana nje unamsahau mke wako hata muda tu wakuwa pamoja ,basi very likely akapata faraja sehemu nyingine.
Namwonea huruma JK pindi atakapotoka madarakani, kama hafahamu basi namkumbusha kuwa ni wakati wake wa kuandaa mazingira mazuri pindi akistaafu apewe heshima yake kama kiongozi aliyetumikia taifa, anaendeleza mchezo wake wa hila kwa kuwachafua wenzake kupitia vyombo vya habari.
Hii dhambi itakuja kumrudi na tena mara mbili pindi atokapo madarakani, na hii itakuwa kwa yeye na familia yake, akumbuke mla huliwa, amefika mbali hata kutumia magazeti yanayoendeshwa na kodi za walala hoi kuwakashifu wagombea wenzake tena kwa kuingilia maisha binafsi ya mtu.
Uungwana ni vitendo, watu wanayajua mengi kuhusu maisha binafsi ya JK na rafiki zake na wapo kimya, kwani wanajua hatuchagui mtu kwa misingi ya maisha binafsi bali uwezo binafsi wa kuliongoza taifa, ole kwa JK na Mkuchika mnaobariki ushabiki wa kipuuzi unaofanywa na vyombo vya habari kwa maslahi yenu, historia itawahukumu
Jakaya Mrisho Kikwete ni moja kati ya Watanzania wanaogombea kiti cha Urais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM. Katika kipindi cha miaka 5 iliyopita yeye ndiyo amekuwa Rais wa JMT (Jamuhuri ya Muunganao wa Tanzania).
Lakini je, Kikwete ni nani hasa?
Makamu wa RAIS MWANAUME PEKEE TOKEA CHUO HICHO KIANZE HADI LEOKatika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alikuwa mwanaharakati wa siasa za wanafunzi na alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu hicho, mwaka 1973-1974.
Yapo ya JK na wake kwa maawala zake (waliokufa (VVU++) na wazima), Kuchangiana wanawake kati ya Edward Lowasa (EL) na JK, John Samuel Malecela (JSM) na wake zake lukuki, Alhaji Kimbisa na vimada wake wa TGNP, Rostam Azizi na Zakia Megji Vs. Phillip Marmo/ Akukweti (RIP), Ben Mkapa na Anna Muganda/Anna Maro na Anna Tibaijuka, Ben Mkapa na Lita Mlaki, Basil Mramba na Anna Maro (Mkapa), na wengineo; orodha ni ndefu.
WanaJF (dare to talk openly) tafadhali endelezeni thread hii ili kuondoa uswahili/udaku katika suala la ngono/ndoa za wanasiasa wetu. Tusiweke chumvi, ila tuseme ukweli. Kwa njia hii tutakuwa tumekata mzizi wa fitina, na hivyo kuelekeza kampeni za sasa katika masuala muhimu ya maendeleo (sera) badala ya kuendelea kugubikwa na udaku wa ngono na ndoa za wanasiasa.
wakhtanabahu