sijajua alienda lini ila natazama tbc 1 ikionyesha rais akiwa nchi za scandinavia kuaga. nauliza, kulikuwa na ulazima gani? japo wenyewe wanajitetea sana kuwa ziara ni kwa manufaa ya nchi
sijajua alienda lini ila natazama tbc 1 ikionyesha rais akiwa nchi za scandinavia kuaga. nauliza, kulikuwa na ulazima gani? japo wenyewe wanajitetea sana kuwa ziara ni kwa manufaa ya nchi
Very good question! Alipoingia Ikulu na kuanza safari za nje kwa kasi tuliambiwa anapita kujitambulisha. Miaka takribani kumi na safari nje karibia 400 na bado anaongeza idadi kisingizio kuaga. Je, marais gani wa nje walikuja kujitambulisha kwetu? Wangapi walikuja kutuaga zaidi ya Mwai Kibaki? Hiyo fedha inayotumika kuagia siyo ya wananchi? 25 Oktoba tutaonana.