KIKWETE huyooooooo FINLAND

KIKWETE huyooooooo FINLAND

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
684
Kuna taarifa kuwa Rais yuko njiani kuelekea FINLAND

Hii imekuwa siri kubwa maana mgomo wa madaktari umefikia pabaya

Leo TBC wanaweza kutoa habari ya kuwa Rais yupo lakini picha zitatoka maktaba

images

Usiniulize sosi
 
Acha uongo kaka sijui dada,pita maeneo ya ikulu utapata jibu kama yupo au hayupo,ila huu uongo wako usiwalishe watu.
 
Mwacheni jamani,huyo sio raisi wa TZ,ni raisi wa mambo ya nje
 
Acha uongo kaka sijui dada,pita maeneo ya ikulu utapata jibu kama yupo au hayupo,ila huu uongo wako usiwalishe watu.
Nahisi ndo tatizo la kuchagua raisi aliyetokea wizara ya mambo ya nnje!!
 
hizo tetesi tu jamaa nasikia ndio anatua dodoma hv sasa:hat:
 
Back
Top Bottom