Tutofautishe aina ya safari, hii ni safari muhimu kama kiongozi wa nchi kuwepo yeye binafsi halafu mbona safari nyingi huwa anawakilishwa
JK anaondoka leo kuelekea Australia kwenye mkutano wa jumuiya ya madola...wakuu wale wanaochukua data hii ni safari ya ngapi?
hahahaha kumbe? Asante.Maana hiki kiswahili sio mchezoUnakusudia haachi kufuka? Kufuka kwa wasiolelwa ni kuongea mivuke au pointless.
Wanakwenda kukutana wakuu wa nchi wanachama wa jumuiya ya madola.
Ulitakaje?
OTIS.
Anawahi totoz!mkutano ni Ijumaa yeye kajiwahisha tangu J'tatu..
Lakini hapo nadhani pana ulazima wa kuwepo yeye, JK nakutakia safari njema uende urudi salama. Ila ukifika usifuke sasa,
watanzania wanawivu sana
Hii safari ina umuhimu kuliko raia waliouawa na askari kule Idodomia? Wacha dhihaka wewe kitu gani ataongeza yeye kwenye huo mkutano zaidi ya kulifilisi taifa, wacha hilo hebu tupe mafanikio ya mikutano aliyohudhuria ya jumuiya ya madola hapa ...... ..... ..
Basi bora awe anashinda pale muhimbili kusubiri mazishi ya kila mtanzania anae fariki.true that.
Tutofautishe aina ya safari, hii ni safari muhimu kama kiongozi wa nchi kuwepo yeye binafsi halafu mbona safari nyingi huwa anawakilishwa