Kikwete huyooo Australia......

Kikwete huyooo Australia......

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,342
Reaction score
2,528
JK anaondoka leo kuelekea Australia kwenye mkutano wa jumuiya ya madola...wakuu wale wanaochukua data hii ni safari ya ngapi?
 
Lakini hapo nadhani pana ulazima wa kuwepo yeye, JK nakutakia safari njema uende urudi salama. Ila ukifika usifuke sasa,
 
Ameenda kutafuta chakula ya watanzania, hawezi kubakia Ikulu anaangalia urembo wa mama Salma huku watu wanahangaika ni heri aende Ausie kuhemea. Tehe tehe, hakuna rais hapo bali ni mtalii....
 
JK katuletee na kocha km brazil ulipomleta Maximo mana Australia hakuna hata wanamzuziki wa kupiga nao picha kama ambavyo huwa unafanya USA
 
Watz tumefika mahali pabaya sana. Au ndio uhuru wa kua kwenye forum mnajimwaga mtakavyo. Kuna ubaya gani baba rtz akienda zake kupunga upepo uko. Vp ameacha meseji gani kwa baraza la mawaziri? Maana nimeona na SHEIN kaapishwa ili ahudhurie..
 
hivi amegoma kwenda kwenye mazishi ya shujaa gaddafi ambaye mwili wake unaozea kwenye bucha ya nyama huko mistra,halafu waarabu walivyo wajinga eti wanapita kuuona mwili uliooza kama majuha.........ukistaajabu ya mussa...........ya firauni yana nafuuuuu....
 
Wanakwenda kukutana wakuu wa nchi wanachama wa jumuiya ya madola.
Ulitakaje?
OTIS.
 
Tutofautishe aina ya safari, hii ni safari muhimu kama kiongozi wa nchi kuwepo yeye binafsi halafu mbona safari nyingi huwa anawakilishwa
 
Back
Top Bottom