Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

Cha kufahamu nikwamba hawa jamaa CIA wako another level za intelijensia compared to TISS.Alafu, mipango ya CIA ni ya long run (e.g. 20 and above). Afu tukumbuke TISS,kimfumo wamechelewa kubadilika sana. Nchi yetu ilipoanza kuingia kwenye ubepari(kipindi cha mwinyi), TISS walikua wanashangaa shangaa tu. Kimisingi TISShawajui majukumu yao, hivi inawezekana vipi nchi inaingia kwenye mfumo wa sokohuria afu mali zote zinakwapuliwa na wegeni afu TISS wapo tu wanatoa macho?

Pia, mfumo wan chi unapokosewa(unapokua wrong), inachukua muda mrefu kuurekebisha, and it needs real expertsto do it with perfection, sio hawa watoto wa mafisadi waliojaa pale oyesterbayna dodoma. Afu tufahamu kuwa tupo kwenye imperialist world, kwa hiyo instrumentkama CIA ipo everywhere penye interest ya US.

Kimuundo hawaTISS badowako nyuma. Afu usikute hata hizo computer zao plus savers walizopewa msaadakutoka kwa watu wa marekani ziko monitored na hao CIA.

umenena TISS hawawezi kuifikia CIA vivyo hivyo taasisi zote za kijasusi duniani haziwezi kuifikia CIA lakini bado TISS katika level yake kwa vyombo vya dunia ya tatu inasemekana inaheshimika sana hata na hao hao CIA. Kama tutaipima TISS kwa ngazi ya CIA ni makosa makubwa na kipimo hicho kitakupa jibu la uongo.
 
Rostam Aziz at work. ndiye anajua siri za mtandao ameona ni vema kukimbilia JF kujitakasa na madhambi yake kama ana kinga ya CIA basi aende kuishi marekani hapa kwetu ameumbuka. kambi ya RA ndiyo inatapatapa kuleta upupu huu kwa njia ya kujisafisha kwa maji taka.
 
kumbe ni rahisi hivyo kuwa CIA agent? I can't believe Rostam huu ni uongo mwingine wa mwaka huu wa kututumia vitisho kutoka kwa RA. hatutarudi nyuma mapambano bado yanaendelea.
 
Rostam! CIA agent? can't believe this. This man is terribly dangerous. Really

Hakuna linaloshindikana kwenye hii dunia yetu. Kitu kimoja kizuri ni kuwa information powers people. Watu wanaokula hela za jamaa lazima wajue ni tamu ila siku ipo zitalipiwa.
 
haya ni majungu,na wahenga wanasema majungu si mtaji.wewe ni majeruhi na ni political looser.unatuletea hadithi ya kutunga apa.utapata wafuasi wachache ambao ni wavivu wa kufikiri maana wabongo siku hizi wanameza kila wanaloambiwa bila kutafakari.fanya kazi uwapatie wanao mkate wa kila siku sio kupoteza muda wako kufurahisha jukwaa la JF kwa uzushi wako huu uliofilisika.
weka ukweli wako ambao haujafilisika..jibu hoja iliyokuwa mezani..
 
thread inaonyesha kwamba Rostam Aziz yuko kwenye mtandao wa RO na Apson wa kumng'oa JK katika part I yake kwa maana hiyo Rostam ni agent wa TISS kama kweli yuko kwenye mtandao mmoja na viongozi wakuu hao wa TISS lakini part II inasema Rostam tena ni agent wa CIA. CIA na TISS ni partinners kutokana na asili ya kazi yao (sina hakika) lakini kwa dunia ya leo iliyojaa uhalifu wa kimataifa hawawezi kuacha kuwa karibu katika biashara yao ya ujasusi. Fumbo hili nina mashaka nalo nitaacha tujadili zaidi ili kupunguza mashaka haya ninayoyaona.
 
umenena TISS hawawezi kuifikia CIA vivyo hivyo taasisi zote za kijasusi duniani haziwezi kuifikia CIA lakini bado TISS katika level yake kwa vyombo vya dunia ya tatu inasemekana inaheshimika sana hata na hao hao CIA. Kama tutaipima TISS kwa ngazi ya CIA ni makosa makubwa na kipimo hicho kitakupa jibu la uongo.
And really we should not try to emphasize TISS to compete with CIA. We should emphasize TISS to make formidable changes that would enable it to become the light of the nation and the first entity to safeguard our interest from all those that plan to harm us or steal our natural resources. Sasa naelewa shairi nililoimbiwa zamani na mtu mmoja mwema aliyesema "mzabibu akimaanisha Tanzania, unavamiwa na watu mfano wa nyati wakali wakitaka kuutokomeza".

Damn it, we have to think differently!!!!
 
Tazama nguvu za Rostam zimeanza kuiogofya jamiiforums kwa story za kutunga. Hakika ndio maana mnasema RA ana akili kumbe sisi ndio hatuna akili. bado hamjaona thread imezama zaidi kwa RA ili tutambue nguvu yake, na kisha tumwogope.
 
And really we should not try to emphasize TISS to compete with CIA. We should emphasize TISS to make formadable changes that would enable it to become the light of the nation and the first entity to safeguard our interest from all those that plan to harm us or steal our natural resources. Sasa naelewa shairi nililoimbiwa zamani na mtu mmoja mwema aliyesema "mzabibu akimaanisha Tanzania, unavamiwa na watu mfano wa nyati wakali wakitaka kuutokomeza".
Damn it, we have to think differently!!!!
hata marekani si CIA peke yake kuna vyombo vya ulinzi kadhaa ni makosa kuiachia TISS kwamba itafanya maajabu bila vyombo vingine. tukumbuke TISS sio Jeshi la polisi, sio Uhamiaji, si TRA si BOT bila ushirikiano na kuwajibika kwa kila taasisi ni sawa na kukosa mwelekeo. wahalifu wanatucheka tunapoisema TISS peke yake wakati kuna vyombo vinazembea katika wajibu wake. tukumbuke vyombo hivyo vyote viko kwa mujibu wa sheria na vinatumia kodi ya wananchi.
 
Tazama nguvu za Rostam zimeanza kuiogofya jamiiforums kwa story za kutunga. Hakika ndio maana mnasema RA ana akili kumbe sisi ndio hatuna akili. bado hamjaona thread imezama zaidi kwa RA ili tutambue nguvu yake, na kisha tumwogope.
Una identity nzuri sana lakini mawazo yako hayafanini na Identity yako,kabla ya yote kawasome CIA kisha uje kuongea haya unayoongea hapa.Hakika Kikwete anastahiki Hongera kwa kudeal na watu hawa mpaka hatua hii.Ndio maana unaona hata haya unayoyaona sasa.CIA sio lelemama,hawa jamaa ni kila kitu ujasikia habari ya Hugo Shavez anavyolalamika kuwa wamempandikizia ugonjwa wa kansa yeye na Marais wa Brazil na anawaomba maris wenzie wa America kusini wajiangalie dhidi ya Marekani kupitia CIA.Ebu acha mchezo wa kitoto hiyo ndio ngoma ya watu wazima.
 
Akili ya kupewa changanya na yako. Hivi Rostam sio member aje ajibu haya
 
kudadadeki, mwenye part 1 atuwekee, wengine tulikuwa migombani tumerudi mjini sasa
 
nakubaliana na wewe, ila nchi hii inahitaji mapinduzi ya kifikra zaidi kuliko mengineyo

True kabisa. We have to work on tapping the economic opportunities so that we could increase our purchasing power. Tukiwa na uwezo wa kujilisha bila kutegemea kununuliwa, tutakuwa pia na uwezo wa kuwakataa kina RA na vibweka vyao. Tujifunze kutumia muda wetu vizuri ili tupate kipato cha kutufanya tuwe maskini jeuri. Wale wanaoenda kuombaomba misaada nje kwa ufahari waoi waacheni waendeleee tu.
 
Tatizo ni uwezo wetu wa kufikiri sio wa mtuma thread. Kacheza na akili zetu na sisi tumekubali kucheza music anaopiga
 
Back
Top Bottom