Habari wadau.
Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha rais msitaafu wa awamu ya nne Dk Jakaya Kikwete akimwelezea aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Dk Magufuli kuwa tangu akiwa waziri alikuwa adui mkubwa wa wanafiki, wazembe na wababaishaji kazini. Kikwete amesema watu hao hawakumpenda akiwa waziri na hata alipokuwa rais na ikizingatiwa kuwa nchi yetu inakabiliwa na wimbi kubwa la watu kuwa wazalendo mdomoni lakini kwa vitendo wanafanya mambo tofauti kabisa.
Kikwete kwenye hiyo video amefafanua kuwa wakati akiwa rais jembe lake alikuwa waziri Dk Magufuli na alimpa kazi ya kuunganisha mikoa yote kwa barabara za lami na kweli mpaka anaondoka madarakani mwaka 2015 walikuwa wamefanikiwa kuunganisha mikoa yote isipokuwa katavi tu.
Kikwete amesema bila ubunifu na kujituma kwa Dk Magufuli isingewezekana.
Ahaa unaleta hotuba ya msibani ChatoHabari wadau.

Huyo jamaa akalale huko Kaburini sisi tunataka tu move on.Ahaa unaleta hotuba ya msibani chato
Mchana alijifanya kujenga Daraja, usiku alimtuma Sabaya akaue watu na kupora mali za watu, akae na Madaraja yake hata Iddi amini alijengaSGR , ndege Flyover hazijafa na utazitumia sana huku nafsi ikikusuta
Shetani limeondoka kwanini nisifurahi,Samia atatupa Katiba Mpya trust meNi jambo jema kwamba sasa hivi unamshangilia rais Samia ni ccm daima
Membe vpShetani limeondoka kwanini nisifurahi,Samia atatupa Katiba Mpya trust me
Huo ndio ukweli.Habari wadau.
Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete akimuelezea aliyekuwa Rais wa tano wa Tanzania hayati Dk. Magufuli kuwa tangu akiwa waziri alikuwa adui mkubwa wa wanafiki, wazembe na wababaishaji kazini. Kikwete amesema watu hao hawakumpenda akiwa waziri na hata alipokuwa Rais na ikizingatiwa kuwa nchi yetu inakabiliwa na wimbi kubwa la watu kuwa wazalendo mdomoni lakini kwa vitendo wanafanya mambo tofauti kabisa.
Kikwete kwenye hiyo video amefafanua kuwa wakati akiwa Rais jembe lake alikuwa waziri Dk Magufuli na alimpa kazi ya kuunganisha mikoa yote kwa barabara za lami na kweli mpaka anaondoka madarakani mwaka 2015 walikuwa wamefanikiwa kuunganisha mikoa yote isipokuwa katavi tu.
Kikwete amesema bila ubunifu na kujituma kwa Dk. Magufuli isingewezekana.
π π Hivi kuna shetani mkubwa zaidi ya yule mwenyekiti wa saccos pale Ufipa?. Kawafanya nyote kuwa nyumbu, atafuta hela za chama na kula vitu maalum huyo ndo shujaa wenu. Shame on youShetani limeondoka kwanini nisifurahi,Samia atatupa Katiba Mpya trust me
Hivi wewe ndugu umekula Maharage ya wapi?π π Hivi kuna shetani mkubwa zaidi ya yule mwenyekiti wa saccos pale Ufipa?. Kawafanya nyote kuwa nyumbu, atafuta hela za chama na kula vitu maalum huyo ndo shujaa wenu. Shame on you