Taifa hili linakazi hata majuha nao wanahoji utendaji wa jk,kwa tarifa tu ni kwamba jk kila siku anasema mda wake ukiisha ataondoka kwa mujibu wa katiba ila kumbuka kuwa hatakuja kupatikana kirahisi mtu mpenda maendeleo kama jk japo wajinga wachache kama wewe akina mengi na mafisadi wengine ndiyo wanamkwamisha lakini hachoki kuleta maendeleo kwa watanzania.
Yaani napata shida sana juu ya uelewa wa vijana wa bavicha. Kwa vile mwenyekiti wenu ni DJ Zero mpaka nanyi mmekuwa zero? Ina maana hamuoni mazuri ua Rais Kikwete? Ngoja nikuwekee
Yaani napata shida sana juu ya uelewa wa vijana wa bavicha. Kwa vile mwenyekiti wenu ni DJ Zero mpaka nanyi mmekuwa zero? Ina maana hamuoni mazuri ua Rais Kikwete? Ngoja nikuwekee
Taifa hili linakazi hata majuha nao wanahoji utendaji wa jk,kwa tarifa tu ni kwamba jk kila siku anasema mda wake ukiisha ataondoka kwa mujibu wa katiba ila kumbuka kuwa hatakuja kupatikana kirahisi mtu mpenda maendeleo kama jk japo wajinga wachache kama wewe akina mengi na mafisadi wengine ndiyo wanamkwamisha lakini hachoki kulndeleo kwa watanzania.
Watu wanatumia kipindi hiki cha kuelekea UCHAGUZI kumpaka matope Rais. Upuuzi mtupu, hivi kama huyu anayesema JK hakupaswa kuwa hata Katibu Kata kama siyo mwendawazimu ni nini?Taifa hili linakazi hata majuha nao wanahoji utendaji wa jk,kwa tarifa tu ni kwamba jk kila siku anasema mda wake ukiisha ataondoka kwa mujibu wa katiba ila kumbuka kuwa hatakuja kupatikana kirahisi mtu mpenda maendeleo kama jk japo wajinga wachache kama wewe akina mengi na mafisadi wengine ndiyo wanamkwamisha lakini hachoki kuleta maendeleo kwa watanzania.
Mnahitaji Rais wa kuwapeleka kwenye mazingira ya MISRI, SOMALIA n, k naona kama mmelewa amaniNi sawa na sisi tunapopata shida na uelewa wako wa mambo ya KITAIFA ya kuyadharau na kudhani sababu kimefanywa na kiongozi wa chama chako ni sawa.Pole kila mtu anauwezo wake wakufikiri nje ya boksi.
Hata mie ninadhani sina cha kumkumbuka huyu Prof wa Kichina zaidi ya Ujambazi na ujangili uliofanywa wakati wa utawala wake na hakuna hatua za maana zilizochukuliwa zaidi ya kutupa porojo za ninawajua wahusika wa ujangili,weziwa mali ya umma,wafanyabiashara wa madawaya kulevya lakini hakuna cha maana zaidi ya kutueleza alivyofanyiwa operation yake ya Tezi Dume..
Watu wanatumia kipindi hiki cha kuelekea UCHAGUZI kumpaka matope Rais. Upuuzi mtupu, hivi kama huyu anayesema JK hakupaswa kuwa hata Katibu Kata kama siyo mwendawazimu ni nini?
Kila kitu serikali, hata usafi chooni kwako unataka Serikali ifanye, tutalalamika sana tuWaliotufundisha kutegemea serikali kwa kila kitu mpaka kupata majibu ya maswali ya maisha ndio walioiuwa nchi.
Rais akilaaniwa , watu wake wako salama kweli? JK anaongoza watu waliolaaniwaJK ni laaana.....Kadiri anavyoendelea kuwa madarakani ndivyo nchi inavyozidi kupata laana.....
Amalize muda wake laana huyu...
Ni jambo la kushukuru Jk amebakiza miezi kama 10 tu aondoke madarakani.Tumeona na kujifunza mengi kuhusu faida na hasara katika kuchagua kiongozi mkuu wa nchi.
I even wish CCM to go along with him.
Ahsante mungu kwa fadhila zako.
Rais akilaaniwa , watu wake wako salama kweli? JK anaongoza watu waliolaaniwaJK ni laaana.....Kadiri anavyoendelea kuwa madarakani ndivyo nchi inavyozidi kupata laana.....
Amalize muda wake laana huyu...
Naona safari hii hata vichaa wanaweza kuchukua fomu, kama salary slip naye mnamtaja basi tenaSafari hii tukuchague wewe,utafaa sana.
Akili inayomuita Rais wa nchi hafai kuwa hata Karibu Kata itakosolewa kwa maneno yapi zaidi ya haya?Kwa wengine haya yatakua maneno mazuri kwenye macho au masikio yao,nimetoa hoja ili nikosolewe au ukubaliane na hoja,tusiweke interest ya vyama hapa,tujadili kwa maslahi mapana ya nchi,bado nasisitiza kuwa rais kikwete ni kiongozi asiyeweza kuchukua maamuzi stahiki kwa wakati,serikali yake inalinda wabadhirifu,hizo barabara unazosifia ni chache zimejengwa kwa hela zetu nyingi ni mikopo,ni katika kipindi hiki pia hela zimechotwa kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kama pspf,nssf nk,awamu hii serikali imekosa nidhamu ya matumizi ya pesa ndio maana hosp zetu zilikosa dawa kwa kwa sababu rais ama aliowateua walishindwa kuwajibika ipasavyo,namalizia kwa kuuliza mliosoma mtuelimishe juu ya ukuaji wa deni la taifa,uchumi,FDI,inflation,na pia mtuambie impact ya tzs 321bn za escrow kwenye uchumi wa tz
Mnahitaji Rais wa kuwapeleka kwenye mazingira ya MISRI, SOMALIA n, k naona kama mmelewa amani
lakini hiyo miezi 10 mimi naiona kama miaka kumi bado duh....
Akili inayomuita Rais wa nchi hafai kuwa hata Karibu Kata itakosolewa kwa maneno yapi zaidi ya haya?
JK ni laaana.....Kadiri anavyoendelea kuwa madarakani ndivyo nchi inavyozidi kupata laana.....
Amalize muda wake laana huyu...