Juvenile Mwambi
New Member
- Jan 14, 2014
- 3
- 0
Mhhhhhhh
Yaani na hapa akiniacha sidhani kama nitakuja kuteuliwa tena, nitaishia vyeo vya shule tu vya huko zamani
Kama umepiga kufuli sahau, mkuu wa kaya hawezi kukuona hata kidogo.
Rejea kauli yake,
"Ukitaka kula ukubali kuliwa"
hawezi kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ni rais mbovu sijwahi kuonajk ni moja yamaraisi dhaifu wasio na uwezo wa kuongoza nchi.ni hatari kwa mistukabadhi wa taifa kuwa na rais wanamna hii
Hivi Kikwete yuko wapi kwa sasa
Nasikia anateua wakuu wa wilaya wengine.....
Twakwimu zilizopo mpaka sasa ametumia kama laki tano na shirini na tano.
Nakuunga mkono kwa sehemu. Kumbuka kutokana na aliyoyafanya hata Makamba aliwahi kusema ye yote atakayepigiwa debe na Kikwete hawezi kuungwa mkono na wananchi. Infact amefanya mengi ikiwa ni pamoja na kumwambia Prince atangaze kuwa jina la rais ajaye liko mikononi mwake na katu hawezi kutoka kaskazini. Kwa kweli amefanya mengi. Hata kusema fedha ya escrow siyo ya umma wakati leo wote walionufaika wanatakiwa walipe kodi ya 30% siyo jambo dogo. Ni taahira tu atashindwa kuyaona haya. Kuwapandisha vyeo wauaji kama Kamuhanda si jambo dogo ati. Kweli amefanya mengi na kwa sababu hiyo sasa anaweza kuweka bayana lile jina alilolisema Prince.
nimemsikia akijaribu kuelezea kuhusu rais ajaye,katika mazungumzo anataka kutuonyesha kwamba yeye ndiye anayetakiwa kutupatia rais wetu mpya tunayetegemea kumpata mwisho wa mwaka huu,kikwete ameharibu sana nchi yetu na kamwe asifikiri watanzania wanaweza kumpa nafasi kama hiyo,awaeleze watanzania alichowafanyia tangu 2005 mpaka hii 2015 kabla hajawaza kuchagua mtu wa kumrithi,ni aibu na fedhaha kuchaguliwa rais na mtu aliyeshindwa urais,pumzika nenda kijijini katulie tuachie nchi turekebishe ulikoharibu:a s embarassed:
Naunga Mkono Oja Kwa nguvu Zotemkuu huyo anataka kuletea dhaifu mwingine anadhani watanzani bado ni wale wa zidumu fikra za mwenyekiti