Ana kihererehere (sorry to use his own word) ya kurudi mjengoni!!! Na ninawasikitikia Watz kwani akirudi, na kwa kuwa ndiyo miaka yake 5 ya mwisho, basi hatafanya chochote -- akakua anapiga anasa tu. Mwaka 2015 hatakuwapo yeye kujibu maswali iwapo katimiza ahadi zake au la.
Watz -- hebu tujitutumue kidogo asirudi huyu mjengoni ili kutopoteza miaka mingine 5 ya maktaimu katika maendeleo. I know you can!
Naamini hiyo ni mikakati hasi zaidi ya uchaguzi ambayo inahusisha mambo yafuatayo:
1. Mgombea kutoa matamko ya kiserikali yanayotekelezeka baada ya uchaguzi.
2. Mgombea kuzungukwa na maofisa wa serikali wasio wanasiasa.
3. Mgombea kusomewa risala hewa za mahitaji muhimu ya wananchi na kuombwa kumalizia au kukabili matatizo yaliyobaki
4. Mgombea kupewa fursa ya kwaza kwenye media za serikali bila kujali wagombea wengine wamefanya/kuongea nini siku hiyo.
5. Mgombea kuingia kwenye ugomzi/ lawama siziso za lazima na taasisi za nje na ndani kwa mambo yanayohitaji utaalamu kuliko utashi wa kisiasa.
6. Mgombea kutumia rasilimali za serikali katika kampeni zake.
Na mambo mengine mengi yafananayo na hayo. Sasa kwa mwananchi wa kawaida si rahisi kutofautisha mgombea wa nanma hii na kiongozi kamili wa nchi, hivyo anaishia kuamini kuwa huyu mgombea ndiye anayestahili kupewa kura (kwani tayari ni raisi wa nchi kwa matendo au muonekano).
Naamini haya ni mambo yanayochochea mabadiliko kwenye katiba yetu.

Hehehehe. Mbona kurudi mjengoni ni kama kawa tu? :becky:
Wale wanaotoa kila aina ya ahadi, kuanzia kufuta kodi zote, kuongeza mishahara, elimu bure, afya bure, treni ya umeme kutoka Mwz Dar kujengwa mwaka mmoja baada ya kuingia Ikulu, huyo hana kiherere. Anawashwa na kuingia mjengoni. :becky:
Ndugu zangu, jana ilikuwa siku yangu ya nne nikiwangalia JK katika mikutano yake ya hadhara "ya kampeni" lakini ukimsikiliza haongei kama mgombea bali Rais. Kwa mfano jana katika ITV alisema "wanaoiba hati punguzo za pembejeo watashughulikiwa kama wahujumu uchumi"!! Hii si kauli ya mgombea bali ya yule aliyeishapewa madaraka.
Akasema, tutajenga barabara ya rami kupitia mbuga za wanyama, Serengeti. Hizi zote ni orders. Mbaya zaidi, wandishi wa habari humnukuu "Serikali imesema...." Siyo JK amesema akipewa ridhaa tena ata....
Je hii ni kusema kuwa Hakuna haja ya kufanya uchaguzi sababu anayetaka kushinda ameishajitangazia ushindi? Je hapo kutakuwa na uchaguzi huru na haki? wale wenye maoni ya mtizamo wa kidini kama Ami wasichangie hapa.
Karibuni kuchangia.
Hili ni muhimu kukumbuka na kuzingatia. Nadhani kama akirudi tena, hali itakuwa mbaya zaidi kwa sababu anajua ndio term yake ya mwisho.Ana kihererehere (sorry to use his own word) ya kurudi mjengoni!!! Na ninawasikitikia Watz kwani akirudi, na kwa kuwa ndiyo miaka yake 5 ya mwisho, basi hatafanya chochote -- akakua anapiga anasa tu. Mwaka 2015 hatakuwapo yeye kujibu maswali iwapo katimiza ahadi zake au la.