Kikwete Fuata Nyayo za Netanyahu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete Fuata Nyayo za Netanyahu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kubwajinga, Dec 9, 2009.

 1. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Last update - 18:10 09/12/2009
  Netanyahu cancels trip to Copenhagen climate conference

  [​IMG]By Barak Ravid [​IMG][​IMG]

  Prime Minister Benjamin Netanyahu has canceled his planned trip next week to the Copenhagen summit on climate change.

  Aides to Netanyahu said the reason for the cancellation was the high expense that would be borne by the taxpayer.

  Summit organizers foot the bill for hosting heads of state and an entourage that is limited to six individuals. However, due to the extensive security detail that accompanies visiting prime ministers, Netanyahu aides said the cost for the visit would be excessive.
  Sources close to the premier added that conference organizers required that the Israeli delegation reserve hotel rooms for a minimum of one week, while Netanyahu had no intention of staying in Copenhagen for longer than two nights.

  In such a scenario, dozens of hotel rooms would remain empty and paid for at a cost of tens of thousands of euros.

  Netanyahu's bureau added that the premier's tight schedule precluded a prolonged stay in Copenhagen.

  The prime minister spoke with President Shimon Peres on Wednesday afternoon, suggesting that he take part in the Copenhagen summit due to the importance Israel attaches to protecting the environment and promoting renewable sources of energy.

  Netanyahu's request of Peres is odd considering that the president was initially designated as Israel's representative to the summit.

  At the premier's request, Peres last week stepped aside to allow Netanyahu to lead the Israeli delegation. Now the prime minister is reversing course.

  In the last week, Netanyahu aides have wavered back and forth as to whether the prime minister would travel to the summit. At one point, the premier attributed his hesitation to Iranian President Mahmoud Ahmadinejad's presence at the event.

  Source: Haaretz http://www.haaretz.com/hasen/spages/1133908.html  Israel ni nchi tajiri sana ukilinganisha na Tanzania. Lakini hata wao viongozi wao wanajua umuhimu wa kubana matumizi. Kwa nini Kikwete naye asii-onee huruma nchi yetu na kukaa nyumbani badala ya kuzurura kwenye nchi za watu?
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  ..angalau angepunguza tu idadi ya wajumbe anaofuatana nao. 12 wangetosha kabisa.
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,433
  Trophy Points: 280
  Labda bulungutu toka kwa Washkaji zao limepungua sana na pia huyu jamaa na O hawawivi kabisa hasa inapokuja kwenye kutafuta suluhisho kati ya Palestine na Waisrael. Labda O kamwambia kwamba kutokana na hali ya uchumi wa nchi basi mshiko wao wa kila mwaka wa $3 billion inabidi upungue sana, sasa jamaa na yeye ameamua kuanza kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
   
 4. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Mwasheni JK awe JK. Kila kukicha JK angalia Museveni. JK angalia Natanyahu.

  Kama hakuna cha maana cha kuandika kwenye ukumbi wa siasa, basi ukumbi wa porojo unawasubiri.
   
 5. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2009
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,402
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Wape uhuru watu wajadili "priorities"; ukitaka watu wajadili unachotaka wewe then hii haiwezi kuitwa discussion. Skip a topic which you think is boring for you.
  But for real this topic is very relevant!
   
 6. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180

  I am sorry I hurt your feelings.
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Dec 10, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Yaani watu wanapozungumzia kuhusu kubana matumizi kwa ajili ya nchi yetu wewe unaona ni mambo yasiyo na maana eti kwa kuwa jina la JK limetajwa? Wake up please!
   
 8. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kufanya maamuzi kama haya kunahitaji nia, uwajibikaji na uzalendo wa dhati kwa taifa, swala ambalo halipo kwa JK na wote wanaomzunguka. Tusishangae leo akawa hata hajui itagharimu kiasi gani taifa kuwapeleka hao watu 60.

  Wakuu kunahaja ya kuanza kufanya quantification ya gharama za hizi safari ili wananchi wapewe katika thamani ya fedha ni kiasi gani kimetumika na kimeleta kiasigani na kama kulikua hakuna njia nyingine mbadala na fanisi zaidi katika kuleta hicho kiasi.

  Porojo za kusema safari zimeleta hiki na hiki bila kutuambia zimetumia kiasi gani au kwanini yeye ndo aende hizo safari hazitatufanya watanzania tuache kuamini kwamba huu ni ufujaji wa fedha za uma na tabia ya rais wetu ya kutokupenda kuwajibika.
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  naye kazidi kuzurura jamani..kheee kila siku kutembea tembea tu input kwenye hizo meeting sifuri anaishia kukutana na waigiza sinema na kubembea ndo maana wanamsema
   
 10. R

  Ronaldinho Member

  #10
  Dec 10, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa ni safari ya kwenda Mbeya tena kwa gari JK angeweza kughairi,ila Denmark?nani kasema labda awe anaumwa
   
 11. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ....guys sometimes vitu kama hivi inakuwa ni communication tricks tu.inawezekana jamaa wamesite security concerns,kama tunavyojua kutakuwa na wanaharakati wa kila aina huko Copenhagen na Israel is not the most loved nation in the world.kumbuka kuwa waisrael wananyima haki wapalestina kutumia natural resources kama maji,so things like these are of a concern to them.wanatoa habari ionekane kuwa it's a matter ya kubana matumizi.these people are clever......
   
 12. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
   
 13. bona

  bona JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  i agree jk should just stay at home afterall for what industries that we have which emmit co2 that need international attention, i think our president lack priority, we should even hide our face when people talk about industries which emmit co2 that harm earnvironment! jk had nothing to discuss in copenhagen! in short its irrelevant summit for him just wastage of taxpayers money, we heard the only countries which say no to secret copenhagen draft which favour big powers came not from africa with expectional to SA which is the only country at least deserve to attend the summit.
   
Loading...