Kikwete: Foleni jijini Dar itakuwa historia

Wakati mwingine ni vigumu kujua anamaanisha nini kauli nyingine zinakuwa zinatolewa kimipashomipasho wakati aliposema atatoa ajira millioni moja si ajabu alimaanisha kuondoa hata zile zilizokuwepo na anapoongelea kitu kuwa historia uenda ina maana ya kero tajwa kudumu milele na kuweka historia ya aina yake.
 
Back
Top Bottom