Kikwete: Chagueni kijana kunirithi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,769
Reaction score
165,399

CHANZO:Mwananchi

MY TAKE:

Hiki kitakuwa kipimo kizuri sana cha ile dhana ya "zidumu fikra za mwenyekiti" kama tulivyoshuhidia kwenye Bunge Maakumu la Katiba

CC: waliotangaza nia ya kugombe uraisi kupitia CCM.
 
vijana tumewapa vyeo tu kama majaribia lakin wameonekana kupwaya sna,,cc makamba
 
Kikwete alichaguliwa akiwa na miaka 55, alijisema kijana, I take no wonder to mention the guy

Hivi membe ni kijana???membe atakuwa mkubwa sna,alidumaa tu kwaajili ya shida alivyokuwa mdogo,ukitaka kujua ni mkubwa msogolee umuone na hilo domo lake
 
Hivi membe ni kijana???membe atakuwa mkubwa sna,alidumaa tu kwaajili ya shida alivyokuwa mdogo,ukitaka kujua ni mkubwa msogolee umuone na hilo domo lake

Ingawa mimi sio mwana CCM na sioni mgombe anaefaa,lakini kauli yako ni majungu!
 
Ujumbe kwa sita,lowasa,wasira. Hapo anampigia debe zito,januari, kingwangala,na zaidi ritz
 
Watanzania hatutaki kabisa rais dhaifu kutuongoza namna ya kupata rais bora. Tangu alipoingia ikulu hakuna kitu alichofanya kikaleta matokeo mazuri kwa hiyo tukiingia mkenge na kumsikiliza tuchague anayempenda yeye tumeumia!
 
Badala ya kujadili mageuzi ya kimfumo anajadili sura za watu

Yeye alikua na muonekano wa ujana akafanya nini ?Tena kwa kauli zake atawatia nuksi hata wagombea wenye haiba ya ujana

Reasoning capacity za aina hii tukianza kuzihoji tutaishia kuonekana tumemu-insult bure !
 
Watanzania hatutaki kabisa rais dhaifu kutuongoza namna ya kupata rais bora. Tangu alipoingia ikulu hakuna kitu alichofanya kikaleta matokeo mazuri kwa hiyo tukiingia mkenge na kumsikiliza tuchague anayempenda yeye tumeumia!

Anataka kutumia gia ya ujana kuturubuni.
 
Mze wa sumu vp?
 
Sipendi watu wanao hararisha mambo kienyeji nyeji Kwani nani amesema lazima rais atoke ccm labda watafute mtu wa kumrithi cheo chake cha uenyekiti wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…