Kikwete calls for education regulatory body

Mallaba

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
2,554
46
PRESIDENT Jakaya Kikwete has advocated for the establishment of a regulatory authority that would help assess and certify the range of tuition fees at all levels of education hierarchy.

In a country that struggles to provide equal education opportunities to all, said the president, a few individuals should not be allowed to turn education into a lucrative business at the expense of others.

“We need EWURA-like (Energy and Water Utilities Regulatory Authority) body to monitor education overheads at various levels. The government cannot afford to remain silent to see education turned into an expensive commodity, such that one wakes up the next morning to put up a kindergarten school charging 6m/- annually,” President Kikwete elaborated.

Speaking at a brief ceremony to hand over Certificate of University Charter to 13 universities both public and private at the State House grounds in Dar es Salaam on Wednesday, President Kikwete said he told former US President George Bush in 2008 in Dar es Salaam during discussion, that education was a priority and asked him to help build a strong education base particularly with sufficient number of qualified science teachers.

Again during audience with President Obama in Washington DC last year, he reminded him of the pledge by his predecessor and he agreed that the US government would provide for 2.4 million science books (physics, chemistry and mathematics) in the next few months.

The Minister for Education and Vocational Training, Prof Jumanne Maghembe, commended the president for raising a sensitive issue of exorbitant tuition fees fixed at individuals’ interests. He spoke of plans to amend the Higher Education Act of 2005 to give it powers to hold responsible those demanding more money, sometimes not matching the quality of education provided.

“There will be no leniency on this,” he said. The Executive Secretary to the Tanzania Commission for Universities, TCU, Prof Mayunga Nkunya added voice to the subject expressing readiness for his office to work closely with the ministry of education to set the procedures.

He underscored the need for the country to exercise control on education costs, to make sure that learning opportunities were equally accessible to all. President Kikwete also spoke about challenges facing the higher education sector, which included the limited number of university instructors/professors such that institutions continue to scramble for those available as they keep shifting from one university to the other.

“The best solution is to train more people to make sure that the country has a good number of learned and qualified instructors. We need more post graduate and doctorate students as it happens in other countries like Kenya. Our PhD holders here can help supervise doctorate students,” he suggested.

Commenting on the significance of the day’s event that witnessed representatives from 13 universities receiving official recognition to train students at higher levels, undertake useful research work(s) and set academic standards, Dr Kikwete advised concerned authorities to make things easier for the availability of loans to qualified students without discrimination.

He said time has come for all qualified university entrants to get loans without prejudice, adding that the government would continue to give prominence to education such that in 2005 the total sum of 56bil/- was given to the High Learning Students’ Loan Board, compared to 243bil/- set aside for the purpose this year.

However, the president was explicit on the need for regulated tuition fee, unless more money would be set aside to only train a few students under hiked arrangement. Through the office the chief secretary, he said, disbursement of loans would be enhanced to the convenience of applicants to ensure academic success.

For example in 2005, there were 16,345 university students and the dramatic increase was experienced last year with 69,250 students securing admission and all seeking loans. The universities that qualified and received the accreditations are the Dar es Salaam University College of Education (DUCE), Mkwawa University College of Education (MUCE), Hubert Kariuki Memorial University, the International Medical and Technology University (IMTU) and Morogoro Muslim University (MUM).

Others are Theophilo Kisanji University in Mbeya, Bishop Stephano Moshi Memorial University College (SMMUCo) in Moshi, Bishop Sebastian Kolowa University College, (SEKUCO) in Lushoto, Tanga and the Kilimanjaro Christian Medical College at KCMC in Moshi.

Others are Mwenge University College of Education (MWUCE) and Weill Bugando University College of Health Sciences (WBUCHS), both affiliated to St Augustine University of Tanzania (SAUT) of Mwanza, St John University of Tanzania in Dodoma, Moshi University College of Co-operatives and Business Studies (MUCCoBS) and Zanzibar University of Tunguu in Zanzibar.
 
hapo umenena maana mmh eti mwisho wa mwezi unasikia tu mwenye nyumba anakwambia bei imepanda na kama hutaki uondoke, yaani kila mtu anafanya kama aonavyo .sio siri ni lazima kuwe na system ya ku-regurate
Na Bodi ya kudhibiti KODI za Nyumba za kupanga na yenyewe tunaihitaji
 
This news is too old. it was published in the daily news on 18 august 2010. So, what is new here??
 
Are we discussing on new or an old news ? or are we discussing the content of the news? be open and knowlegeable on important issues
This news is too old. it was published in the daily news on 18 august 2010. So, what is new here??
 
Sure hii kitu ni muhimu ikawepo tena mapema maana kumekuwa hamna haki kwenye mashule mengi ambayo yanapandisha ada kila mwaka bila sababu za msingi.
 
usemalo ni kweli kabisa, hili swala linabidi lichukuliwe njuga kabisa tena kwa umakini zaidi.
Sure hii kitu ni muhimu ikawepo tena mapema maana kumekuwa hamna haki kwenye mashule mengi ambayo yanapandisha ada kila mwaka bila sababu za msingi.
 
Kenya wamejaribu kuwa na regulatory forum ambayo hutoa matangazo kuhusu kiasi gani cha ada kinatozwa kwa kila mwaka lakini, hili halijasuruhisa ishu ya fees kuwa za juu. Kama mzazi unatakikana ujiulize, je kama serikali imeamua fees iwe laki 2 kwa mwaka (mfano), je, ni elimu ipi mwanangu ataipata katika hiyo shule, pia, kama shule inatoza mil 3 kwa mwaka, je elimu anayoipata mwanangu kweli inalingana na hiyo value?
Ndio, ni vyema kuwa na regulations ambazo zitatumika kama guide kwa wanaotoa hizi huduma, lakini kusema "no-leniency" kuzihimiza ni kudanganyana tu. In any case, wanaotoa huduma pia ni hao hao viongozi hence hapa hamna change.
 
Shule ya chekechea ada almost 700,000 - 900,000 kwa term 3 kwa hiyo 2,000,000 - 2,700,000 kwa mwaka. Achia mbali mazagazaga mengine yanayoyohusiana.

Hata hivyo nyingi katika hizi shule wanatilia mkazo zaidi kiingereza kuliko maarifa mengine ambayo ni muhimu kukuza uelewa na ufahamu wa mtoto.

Hivyo basi ni muhimu kuwa regulations, kwanza kuhakikisha elimu inayotolewa inaendana na thamani ya pesa, kwa sababu shule nyingi ziko kibiashara zaidi.

Hiyo mamlaka ya udhibiti elimu imechelewa sana kuundwa kama haijaundwa bado.
 
Bodi bodi bodi?? kila kitu

Hivi wizara kazi yake nini? si authority au?
Hapa nimekupata vizuri sana, watanzania hatutaendelea kuwa na bodi kwa kila kitu wakati wizara husika zipo na viongozi wake wakilipwa mamilioni ya pesa kila siku , je Kazi za hizo wizara ni nini? Haya ni matumizi mabaya ya mali za umma . Tunahitaji wizara ziwajibike moja kwa moja.
 
je una ushauri gani kwa hilo/
Sure hii kitu ni muhimu ikawepo tena mapema maana kumekuwa hamna haki kwenye mashule mengi ambayo yanapandisha ada kila mwaka bila sababu za msingi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom