Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,251
- 44,586
Hilo neno hata mimi lilinizingua sana wenyewe wanaiita nywila!Naamini itakuwa ngumu kuitumia kuliko ya kingereza-mana misamiati yao huwa wanakaa bakita wenyewe na kuifeed-naamini itakuwa ni ajabu sana kwa sisi wa-tz wenyewe kushindwa kujua maana ya maneno mengine tutakayokutana nayo huko-
nilishwai tumia program flan kwa kiswahili-ikanishinda-misamiati haieleweki-mfano nilikuta neno password kwa kiswahili nikashngaa
.... amesema Rais Kikwete na kuongeza, "utawafanya wale ndugu zetu wanaobeza na kutotaka kuendeleza matumizi ya Lugha ya Kiswahili katika elimu, sayansi, teknolojia na shughuli za serikali na biashara kuwa na mawazo tofauti.
Hilo neno hata mimi lilinizingua sana wenyewe wanaiita nywila!
password-nywila
keybord-baobonye
windows 7 - madirisha saba
mouse-kipanya
hard disk-diski ngumu
Hapa kazi ipo,hiyo ni mifano michache tu..kuna misamiati humo ambayo tangu nizaliwe sijawahi kuisikia kabisa!!
password-nywila
keybord-baobonye
windows 7 - madirisha saba
mouse-kipanya
hard disk-diski ngumu
Hapa kazi ipo,hiyo ni mifano michache tu..kuna misamiati humo ambayo tangu nizaliwe sijawahi kuisikia kabisa!!
lugha yetu ndo inakuwa-haina maneno mengi-mimi sioni ulazima wakulazimisha kupata maneno ya kiswahili-hii ndo mana wanatuletea maneno magumu na ya ajabu-ingekuwa vizuri kama baadhi ya maneno yakaachwa vilevile-maana kutumia maneno ya lugha nyingine haina tatizo-Hawa jamaa wa ajabu! wanatafsiri kama robot? Hawafikirii
Windows XP wanaiitaje?
Ukitafsiri kila jina la Operating system inayokuja utachemka!
Obama muite Obama. Wazazi wake hawakukosea kumpa jina hilo!
Vivyo hivyo Windows 7 ibaki Windows 7.