singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Kwa akili yake ndogo kweli amefanya makubwa. Kwa wenye akili kubwa, kufanya makubwa ni:
Kufufua ATC
Kufufua viwanda vya pamba
General tire
reli ya kati
Umeme kwa angalau 40% ya Watz. katika vipindi chake
Kupunguza rushwa angalau kwa 2%
Ajira kwa Watz angalau milioni moja Katika vipindi vyake.
ku control exchange rate aliikuta 700 x USD angalau angeiacha 900
= yote aliyoyafanya ni madogo kwa watu weNye akili kubwa.