Kikwete awataka Maaskofu waombe dua mvua inyeshe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete awataka Maaskofu waombe dua mvua inyeshe!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Boflo, Mar 20, 2011.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  source: Jambo leo 20th March
   
 2. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Chadema
   
 3. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hili gazeti limejaa udini(uislam) na uchochezi mkubwa wa kidini kwa kuandika uongo.Naomba wale wote wenye akili timamu wasilinunue gazeti la JamboLeo kwa kuwa linaandika uchochezi wa kidini.

  @HM Hafif,nyie watu wa CCM na CUF mnapotaja neno Chadema mnazidi kukipa promo(mnakifanyia promosheni) bila kujua na Chadema inazidi kuimarika na kujulikana na watu
   
 4. i

  ibange JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ndipo uwezo wake unapoishia. kwani hata matonya angekuwa rais angeshindwa kuwaambia maaskofu waombe mvua? swala ni kuwa na mipango ya umwagiliaje si kuomba mvua. ulaya wangekuwa wanaomba barafu isishuke wangekuwa hai?
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,946
  Trophy Points: 280
  kuna kitu atakuwa amemaanisha
   
 6. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  wakati maaskofu wanaombea mvua, yeye kama Rais wa JMT anafanya nini? Kwanini anagawa majukumu (ya kuombea vitu) kwa watu wengine lakini yeye majukumu yake kama kupambana na ufisadi, rushwa NA kutengeneza, kutekeleza na kufatilia mipango ya kumtoa mtanzania kwenye umaskini kwa nia ya kweli hafanyi?
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Historia katika biblia inaonyesha kuwa wakati mwingine uovu wa viongozi unaweza kusababisha laana kwa Taifa zima.....La msingi ni JK kutubu na kuacha uovu wote ili maombi yetu yafike kwa Mungu....serikali yetu imejaa uovu wa kutisha na kuuzunisha,maskini wanaonewa,wajane wanapata shida,watoto wa mitaani wanapata taabu...hakika haya yote ni chukizo kwa Mungu..na kati ya mambo ambayo yanamkera sana Mungu kwa upeo wangu mdogo wa Biblia ni kumnyima haki mtu anayestahili haki hiyo..................No way out JK tubu kwanza....
   
Loading...