Kikwete awapa polisi fundisho

Kikwete awapa polisi fundisho

Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.

Kanumba (RIP) ni bora kuliko huyu RPC maana wakati wa kifo cha Kanumba jamaa alihairisha safari
 
msiba wa kawaida saaaana. Aliingia mwenyewe kwenye mtego wa polisi jamii, akiwa na gari kama lile la majambazi, saa ile ile! Rest in hell Barlow.
JK kula bata kwa Sultan na endelea kushangaa kasri na Membe.
 
mi nashangaa kaondoka wakati kuna msiba
sio msiba tu kuna makanisa saba yamechomwa na hali haijatulia,huyu kuna siku atarudi bongo atakuta amepinduliwa ndio atakoma
 
Kifo cha RPC kizuie safari ya rais? Acheni masihara.
 
Sijaona hata ile condolence message ambayo huwa anaitoa hata kama haendi kwenye msiba!
 
Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.

akiandaa akili yako kuwa ya kichuki chuki hutaacha kuchukia kila kitu bila hata kufikiri beyond the boundary
 
amewahi farasi wengine Oman hujaona mkuu tena kule wapo weni na mmoja mweupe halafu ni wengi so now angependa kuendelea kusafisha macho.But nimepata shida alivyokuwa anashangaa kwenye Kasri la mfalme isivyokawaida.

Muheshimiwa kumbe hata wewe uliona ile shangaa....teheteheteh nilicheka sanaaaaa du...nipo naaangalia TV na house Girl wangu hata yeye naye anamshangaa Mkulu ananiambia baba angalia Raisi anavyoshangaa..nilicheka sana du...utalii huu kazi kweli kweli
 
Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.
kwani kuondoka yeye ndo amebeba na watendaji wote? isitoshe kabla ya kuondoka alitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehem na kuongea lolote kama kiongozi wa nchi, sasa wewe ulitaka akae tu na maiti, akili yako ni fupi sana. nina wasix2 na uelewa wako.
 
Tangu lini mfalme akathamini mazishi ya mbwa wake,hapo kasema go to hell
 
Shida ni kwamba Mh.Rais amechoka matatizo yetu but what he is doing ni kubuy time yetu.Msiba wa Kamanda Barlow ni msiba mzito sana ikizingatiwa yeye ni amiri jeshi mkuu wa nchi so anapokimbia watoto wake kidogo inasumbua sana kichwani.Lakini wenzetu wa jeshi la Polisi wanafaham zaidi juu ya hili na yamkini mapokeo yao ni tofauti nasi.ila kushangaa ni jambo la kawaida ila ukishangaa mpaka mtu mwingine akashangaa ushangaaaji wako ni tatizo.Yule ni kiongozi wetu wa nchi tunaamini kuna mambo kwake ni kawaida tukizingatia kuwa keshatembea sehem kubwa ya dunia so kasri la Sultani haliwezi kumshngaza kiasi cha kumtoa kwenye Concentration ya mazungumzo.Msiba tulonao ni msiba mzito kwa jeshi la polisi ukizingatia mazingira ya kifo chenyewe.Rais alitakiwa kuonesha kukerwa na kuumizwa na hali hiyo but kaona sawa tu bora ughaibuni!
 
hivi vasco dagama alizunguka dunia yotee
 
Acha kutuchefu hapa. kafa nani? huyo ni nani nchi hii? mimi akifa polisi yeyote ni furaha kwa kwenda mbele.mbona wao walimuua MWANGOSI tena akiwa amevaa kitambulisho!! mimi na polisi, ccm aah no,no,no.

WaTz mfike mahali mtambue kuongea ovyo hakufai. Na mpunguze kuongea sana ni makosa kwa Mungu. Mnapenda sana kutazama watu wamefanya nini na si mazingira yanatufanya tuishi vipi. Ndiyo maana tutabaki kila siku kudanganywa kwa ushabiki. Usihukumu kwa sabb zako binafsi, yote tunayofanyiana kwa chuki na visasi vitaturudia iko siku tusipotubu. Kama hupendi kaa kimya. Waacheni wafu wazike wafu wenzao. Waombeeni wanaowaudhi kuishi miaka mingi na amani ili wauone Utukufu wa Mungu. Hiki ni kipindi kigumu kwa wanafamilia WAFARIJINI si kutukana na kukejeli. TUJITAMBUE kila mtu kwa nafasi yake kuwepo duniani.
 
Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.

Mheshimiwa Joshua Nassari Mbunge wa Arumeru Mashariki alipokuwa Iringa aliulizwa SWALI na Mtoto kwamba: KWANINI RAIS KIKWETE ALITOA MILLIONI KUMI (Tshs. 10,000,000/=) KWENYE MSIBA WA KANUMBA NA HAKUTOA KITU KWA Mwandishi MWANGOSI??????Nassari: "Waswahili wana msemo Ndege wanaojuana huruka pamoja. Kanumba ni MSANII na Mwangosi ni mwandishi.KIKWETE alitoa Mchango kwa Kanumba kwa sababu ni MSANII MWENZAKE".Hivyo RPC Barlow sio Msanii pia is not part of JK's Sides of Movie Actors.Good Morning Thread poster!!!!!!:biggrin:
 
Tuache kulalamika kila kitu cici ni watu wa kulala mika tu, na lazima tuelewe kila jambo lina utaratibu wake,huwezi kulalamika tu bila kufahamu ykin ya jambo hilo.Na hiv vitu vinaturudisha nyuma sana. leo hii wa TZ ni watu wa kulalamika na hatuna ufumbuzi juu ya kile tunacho kilalalmikia ebu tuwe kitu kimoja na tufanye kaz kwa bidii kwa kweli tutafka mbali sana
 
Polisi wa Tanzania ni sawa na mbwa tu, watawala wanawasakizia kufanya uovu ili wao watawala waendelee kula bata.
 
Jamani acheni raisi wetu akale tende kidogo, akirudi atapitia kuhani pale Kilimanjaro halafu baada ya hapo si mnajua kuwa atakuwa na safari ya nje ya nchi
 
Shida ni kwamba Mh.Rais amechoka matatizo yetu but what he is doing ni kubuy time yetu.Msiba wa Kamanda Barlow ni msiba mzito sana ikizingatiwa yeye ni amiri jeshi mkuu wa nchi so anapokimbia watoto wake kidogo inasumbua sana kichwani.Lakini wenzetu wa jeshi la Polisi wanafaham zaidi juu ya hili na yamkini mapokeo yao ni tofauti nasi.ila kushangaa ni jambo la kawaida ila ukishangaa mpaka mtu mwingine akashangaa ushangaaaji wako ni tatizo.Yule ni kiongozi wetu wa nchi tunaamini kuna mambo kwake ni kawaida tukizingatia kuwa keshatembea sehem kubwa ya dunia so kasri la Sultani haliwezi kumshngaza kiasi cha kumtoa kwenye Concentration ya mazungumzo.Msiba tulonao ni msiba mzito kwa jeshi la polisi ukizingatia mazingira ya kifo chenyewe.Rais alitakiwa kuonesha kukerwa na kuumizwa na hali hiyo but kaona sawa tu bora ughaibuni!
Unajua nilidhani ni mimi tu niliyekuwa naona jinsi prezida wetu anavyoshangaa pale kwenye kasri la kifalme, mpaka nikawa najiuliza sasa kwa nini asishangae kimtindo kwa kuibia, lakini mtu anashangaa mpaka watu wanamshitukia kuwa anashangaa nao wanaanza kumshangaa
 
ama kweli watanzania ni watu wa ajabu, akiudhuria misiba mnamsema, asipoudhuria mnamsema duuuh kweli ubinadamu kazi na undugu lawama.
Sidhani kama huyo Baro alikuwa mtu mkubwa tanzania hii mpaka uwepo ulazima wa raisi kuhudhuria msiba wake. Kwanza sijaelewa mantiki ya maiti yakee kuletwa dar kabla ya kupelekwa kilimanjaro naona tu ni kukuza mambo na kutumia ela ya serikali bure.
Si kila msiba lazima raisi audhurie mimi nadhan raisi inabidi audhulie misiba ya viongozi wakubwa zaidi na watu walio fanya kazi maalumu na zenye kusifika kwa taifa hili.

Kama kanumba vile au sio
 
amewahi farasi wengine Oman hujaona mkuu tena kule wapo weni na mmoja mweupe halafu ni wengi so now angependa kuendelea kusafisha macho.But nimepata shida alivyokuwa anashangaa kwenye Kasri la mfalme isivyokawaida.
Hillo hata mimi kwakweli limenipa shida maana Vasco Da Gama na Membe macho yalikuwa yamewatoka wakishangaa hilo kasri.Sijajua ni kitu gani kilikuwa kimewavutia hivyo our tourist president na Jamaa yake Membe?
 
Back
Top Bottom