ndio wakome kujikomba kwa viongozi wa kisiasa, wakati wengi wao maisha ni duni wanakaa kwenye nyumba full suit bati kuanzia chini hadi juu, mchana huwezi kulala ndani lakini bado hawajitambui, Niambie ni nyumba zipi za polisi ambazo maji machafu hayatirirki asubuhi hadi jioni, mtaa hadi mtaa lakini wao hawayaoni wanasubiri kutumikishwa tu, askari wa tanzania kwa kiasi kikubwa hatofautiani na mnyapara wakati wa mkoloni.Mwenzao anakula bata muscat which means kwake kuhudhuria misiba ya wasanii ni muhimu kuliko wa kamanda wake.
Great thinking, Kwa Kanumba alihudhuria lakini kwa mtumishi wa polisi wa siku nyingi kama huyu ameona hakuna aja
Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.
tafuta nakala ya gazeti la mwananchi la juzi usome nukuu ya kamanda wa polisi wa mkoa wa kilimanjaro, juu ya kifo cha Mr. Barlow. Ndo'utapata jibu la tahamaki yako.
Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.
Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.
mku hilo nenondio wakome kujikomba kwa viongozi wa kisiasa, wakati wengi wao maisha ni duni wanakaa kwenye nyumba full suit bati kuanzia chini hadi juu, mchana huwezi kulala ndani lakini bado hawajitambui, Niambie ni nyumba zipi za polisi ambazo maji machafu hayatirirki asubuhi hadi jioni, mtaa hadi mtaa lakini wao hawayaoni wanasubiri kutumikishwa tu, askari wa tanzania kwa kiasi kikubwa hatofautiani na mnyapara wakati wa mkoloni.Mwenzao anakula bata muscat which means kwake kuhudhuria misiba ya wasanii ni muhimu kuliko wa kamanda wake.
Kwa sababu tukio la mazingira ya kuuawa kwake yanaashiria visasi au uzinzi wa moja kwa moja na maswali mengi sana hayana majibu kuliko ayajibu yeye ni bora akajichukulie maujuzi ya kuipamba magogoni ili iwe kama dubai
kwenye red isinge sema ningesema; alikuwa hajifichi kushangaa nahisi akitoka huko atafisadi nae ajenge maana inaonekana aliipenda sanaamewahi farasi wengine Oman hujaona mkuu tena kule wapo weni na mmoja mweupe halafu ni wengi so now angependa kuendelea kusafisha macho.But nimepata shida alivyokuwa anashangaa kwenye Kasri la mfalme isivyokawaida.