Kikwete awafanyie nini CHADEMA ili waridhike?

Kikwete awafanyie nini CHADEMA ili waridhike?

Kikwete hatakiwi kuridhisha CDM, anahitaji kutumikia watanzania kwa weledi, uadilifu, kwa siasa za kistaarabu bila udini
 
Siyo awafanyie nini CHADEMA, uliza awafanyie nini WATANZANIA!!! Kwa wakati anaanguka anguka ovyo jukwaani si aliakuwa anatoa ahadi za MAISHA BORA KWA WATANZAIA???????????? Acheni sanaa atimize ahadi zake.
 
Tatizo siyo CHADEMA, tatizo elimu ya anaeongoza chama, unaweza kuwa na uwezo wa kuongea sana lakini kama hauna elimu ya kutosha utakuwa unabwabwaja tu. Pale CDM hakuna mfumom unaoleweka wa uongozi na ndiyo sababu ya wao kukataa kuwashirikisha CUF, wale ni vichwa na wangeingiza mambo ambayo yatashinda upeo wao wa kuchanganua mambo.

JK ana Bachelor ya uchumi, (na Master ya nini vile?) na PHD yet hajui kwanini nchi anayoiongoza ni MASKINI?? Saasa we mfuasi wake tukuiteje? ( au wewe ni P...I...M...B....tu)
 
unamuhimu gani kwake mpaka ababaike na chuki zako? Sisimizi bana.

Gadaffi alikuwa PAKA na raia wake walikuwa PANYA lakini alifia kwenye BROKEN CULVERT kama mjusi kafiri!!!!!!!! So you think JK will be a PRESIDENT FOR EVER??????
 
Tatizo siyo CHADEMA, tatizo elimu ya anaeongoza chama, unaweza kuwa na uwezo wa kuongea sana lakini kama hauna elimu ya kutosha utakuwa unabwabwaja tu. Pale CDM hakuna mfumom unaoleweka wa uongozi na ndiyo sababu ya wao kukataa kuwashirikisha CUF, wale ni vichwa na wangeingiza mambo ambayo yatashinda upeo wao wa kuchanganua mambo.

Nadhan CUF wewe ndiyo unaona ina upeo maana wameshindwa hata kulinda majimbo yao! CDM siyo wabaya kama mnavyotaka kutuaminisha. Tunaona pigeni propaganda sana motokeo 2015.3
 
Aache kusafiri kila kukicha kama kwamba ikulu kuna sisimizi wasumbufu
 
Msimwandame kikwete kwenu mnamuona mbaya wazaramo wanamuona mzuri tokea uhuru
Mwaka Jana Ndio kaanza kuweka nguvu za Umeme tulikuwa tumesahauliwa zinaelekea manelomango hadi msanga si Jambo dogo bado rami mungu amlinde na mahasidi wanaomuandama kila kukicha
 
Asikie kilio cha wanaotafuta kazi ni kuwamlika waajili wawe fair na siyo hivi kujuana na rushwa ndivyo vimetala. Ila naamini yeye ndiyo mwaasisi hivyo hawezi hivyo mnisamehe kujijibu mwenyewe.
 
90% ya wanachama wa CHADEMA walikuwa ni CCM kabla ya 2010....

Wewe subiri uchaguzi ujao wote watarudi CCM.....

Au Kikwete akijibadilisha jina na kujiita MASAWE WA HEDARU..wote wataridhika
 
atimize majukumu yake kwani katiba ya nchi inavunjwa waziwazi na seriksli yake
 
Aache umalaya, aache kwenda kwenye misiba, aache kupiga picha na mastaa, aache umatonya , kukopa kopa ovyo then hizo hela zinufaishe ccm, aache kucheka cheka ovyo na kukenua meno.apunguze kuwapa madaraka washkaji zake
 
Atueleze juu ya huu upendeleo apo BOT:-
Hebu fikiria ktk secta moja tu ya BENK KUU tunawakuta
FILBET SUMAYE, BEATRICE BOMAN.
PAMELA LOWASA,
ZACHARIA KAWAWA,
SALAMA MWINYI,
RACHEL MSEKWA.
SALAMA MAHITA, JANE SITA. JASMIN KARUME. JUSTINA NCHIMBI,
BLASIA W MKAPA,
RADHIA SHEIN.
JEROME DIALO . LIKELE NGASONGWA, ANDY MAGUFULI.
THOMAS MONGELA,
JABIR KIGODA. MARY MRAMBA. ISMAIL MEGHJI
wewe na ndugu zako mko bank gani,....? TAFAKARI....!
Kwa vitendo tumweleze JK kuwa
Mpango mzima ni CHADEMA-2015, TUMA UJUMBE HUU KWA WAPIGA KURA WENZAKO 10 TUIKOMBOE NCHI YETU.
 
Back
Top Bottom