Kikwete awafanyie nini CHADEMA ili waridhike?

Kikwete awafanyie nini CHADEMA ili waridhike?

sio awafanyie nini chadema, ni awafanyie nini wananchi, afanye yafuatayo:
1) apunguze wizi kwa hizo 10% na makampuni ya mifukoni kama Richmond
2) aache kuzurura na akae kuwatumikia wananchi
3) akemee kwa dhati udini aliouanzisha na awe na mikakati ya dhati ya kuumaliza badala ya yy nae kulalamika
4) apunguze mfumuko wa bei
5) ajali maslahi ya wafanyakazi.

Mkuu katika mambo ambayo nitamchukia mpaka kufa huyo Kikwete ni hapo kwenye red.
 
Awabambikize kesi wote wakanyee debe lakini babu aachwe huru, hana muda mrefu.
 
kikwete awafanyie nini Kikwete ili waridhike?
yatokee kama ya MWEMBECHAI kama ya Mh Mkapa ndio chadema iridhike?


Kwani wewe huoni nchi inakokwenda...? Bila chadema hata huo umeme unaoupata kwa mgao usingeupata na makapuni kama dowans yanajichitea pesa kama wanavyotaka...
 
J.K ni rais wa watanzania na sie ndo tunataka afanye na si CDM kwahiyo anapofanya anafanya kwa ajiri yetu sote.
 
jk ni muislam ivo aya maneno sijui kama ni mazuri. Tuziheshimu imani na tuvumiliane.


kikwete na wapambe wake wameshindwa kuwaheshimu viongozi wa kikirsto..mpaka wanawadhalilisha bungeni eti wanapanga dili na wanasiasa,inabidi wakirsto tuungane tupambane na huu udhalilishaji
 
atende haki na aache kubambikiza wapinzani kesi,utawala wake unaongoza kwa kuwadhalilisha viongozi wa upinzani na kuwabambikiza kesi kuanzia vijijini hadi taifani,na hili nalo unahitaji tuition kuambiwa>>?????:high5:
 
kama cdm wapo kichokoraa wewe hupo kulambwa lambwa tu!!!! Unakuwa kama .....mtoto si...................?????:high5:
 
Back
Top Bottom