Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Raisi Mstaafu, Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya kupambana na ugonjwa wa Malaria huko New York katika hafla ya kuazimisha miaka 10 ya kampeni ya kupambana na Malaria
Kikwete alitunukiwa tuzo hiyo inayojulikana kama White House Summit Award juzi kwa kusimamia muungano wa viongozi wa Afrika dhidi ya ugonjwa huo.
Chanzo: Mwananchi online