Naamini JK yuko fit, maana kama ni kweli anamaradhi, basi yataonekana tuu, maana mficha maradhi.....
Ha ha haaaa kaka umeuaKinana anamalizia statement yake ya kukanusha hilo. Safari hii atasema alibanwa na haja ndogo?
Mkutano huo ulipangwa kuanza saa 4, asubuhi, lakini hata hivyo ukafanyika saa 8.30 mchana huku ikidaiwa kuwa kuchelewa kuanza kulitokana na Kikwete kuendelea na mikutano ya kampeni wilayani Ngorongoro.
mara nyingi anapochelewa kufika katika mkutano huwa kunakuwa na namna, kama siyo kuanguka sijui itakuwa nini, ngara walitangaza kuwa amechelewa kufika kutokana na hali ya hewa hivyo kushindwa kuendelea kutumia helkopita, lakini tulipoperuzi humu jamvini tukabaini kuwa hali ya hewa ilikuwa safi na taarifa za ndani zikaeleza kuwa alianguka karagwe ikabidi wamsafirishwa kwa magari.
Big Noooo mkuu, ameanguka zaidi ya mara tatu hadharani na bado unauliza...........wakati mkia unauona?
Wakereketwa watakula wapi? Mtaji wao si ni JK, au?Hivi kwanini akubali kwamba afya sio nzuri...kwani U-Rais ndo kazi pekee duniani?
Nyie wakereketwa fanyeni uamuzi wa busara sasa...
Ni vizuri tukiacha kulalamika na kumkejeli, yanaweza kumkuta mtu yoyote. Nadhani ikiisha kampeni tu, jambo la kwanza ni kwenda Marekani au ulaya "kupumzika", ikiwezekana aende hata kabla ya kwisha kampeni. Pamoja na kwamba wengi hatufurahishwi na utawala wake lakini kwa ubindamu afya yake ni muhimu sana kwa chama na taifa, forget about matokeo yatakavyokua.
Kinana anamalizia statement yake ya kukanusha hilo. Safari hii atasema alibanwa na haja ndogo?
hivi kwanini akubali kwamba afya sio nzuri...kwani u-rais ndo kazi pekee duniani?
Nyie wakereketwa fanyeni uamuzi wa busara sasa...
"Hapa sana sana ni Veta ambayo tuliahidi, lakini hatukuitekeleza. Sasa tutajenga katika miaka mitano ijayo, tutaweka umeme. Vijiji 13 vya jirani vitapata maji kwa kuwa Sh428 milioni zimetengwa kwa ajili hiyo. Kuhusu elimu tunategemea mwaka kesho (2011), kila mtoto awe na kitabu chake," alisema Kikwete bila kufafanua sababu za kutojengwa kwa Veta.
CC NI WAKWELI JAMANI
ccm oyeeeeeee.
Kina Makamba na Kinana wanasema JK siyo mgonjwa ili wafanikishe matakwa yao wanasema heri punda afe lazima mzigo wa boss ufike.Wakereketwa watakula wapi? Mtaji wao si ni JK, au?