Kikwete arejea kukagua mafuriko Dar

Tatizo siyo watu wanaoishi "mabondeni" bali ni watu wanaoishi "magogoni" - M.M. Original Quote...

JWTZ ni mashujaa majasiri, kweli alivyoongea Mwakyembe kuwa idara ya uokoaji na inayoshughulikia majanga iwe chini ya JWTZ nilitegemea kila kiongozi mwenye akili angemuunga mkono lakini ccm ni sikio la kufa tu. Alishauri vitengo hivyo vyote vya kurescue vitengewe budget nzuri na viwekwe chini ya JWTZ ili hata wanajeshi wastaafu wakimaliza muda wao wapate ajira huko badala ya kwenda kuajiriwa na makampuni ya ulinzi. Rais na watendaji wake wala hawakushtuka wanasubiri maafa yatokee ndipo waanze kuwasumbua wanajeshi weto. Poor Tanzania ni gari isiyo na driver anayejulikana
 
Back
Top Bottom