The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,700
Katibu mkuu wa zamani wa umoja wa mataifa (UN) Kofi Annan akisalimiana na rais Jakaya Kikwete baada ya kumkabidhi kitabu chake. Kwa wanaojua jinsi Kikwete anavyozidi kuua elimu na maadili nchini wanashangaa kama hii ni zawadi au suto. Je Kikwete asiye na muda wa kutulia hata kufanya kazi zake atapata muda wa kusoma hicho kitabu? Kikwete asiye na utamaduni wa kujisomea atakisoma au kukiweka kwenye shelves na huo kuwa mwisho wake? Kikwete rais atokanaye na kizazi kisichosoma wala kutunga na kuandika na kitabu wapi na wapi?
Ana watu wa kumsomea ... shida juu ya nini?
huwa mara nyingi namsikia na kumuona Mzee Mwinyi kwenye mijadala ya Kiswahili kwenye media, je amewahi kufanya compilation yoyote ya anayoyaongea pia??Ana watu wa kumsomea ... shida juu ya nini?
Katibu mkuu wa zamani wa umoja wa mataifa (UN) Kofi Annan akisalimiana na rais Jakaya Kikwete baada ya kumkabidhi kitabu chake. Kwa wanaojua jinsi Kikwete anavyozidi kuua elimu na maadili nchini wanashangaa kama hii ni zawadi au suto. Je Kikwete asiye na muda wa kutulia hata kufanya kazi zake atapata muda wa kusoma hicho kitabu? Kikwete asiye na utamaduni wa kujisomea atakisoma au kukiweka kwenye shelves na huo kuwa mwisho wake? Kikwete rais atokanaye na kizazi kisichosoma wala kutunga na kuandika na kitabu wapi na wapi?
Mbona unaongea maneno mpaka povu la Gego la mwisho linakutoka? JK yaonyesha anakuuma sana kwa utendaji wake ? Na kumbuka rais ni taasisi si mtu mmoja ukilijua Hilo povu lote litakuisha, teh teh teh
JK kweli anajua kuvaa! Annan angeingiza kwenye Facebuk akamtag Jk angesoma chote!