Kikwete anauliza

Kikwete anauliza

Tunakukumbuka kwa kutumia kodi zetu kuwalipa watu mishahara bila kufanyakazi
 
Sio kidogo baba...tuombee msamaha maana hata ukituombea msaada hatutopewa kitu.
 
Majina alitaka kuyapendekeza ndio yanatuumiza
 
Good riddance, only missed by GSM/Home shopping Centre because the loot is diminishing!!!
 
Majizi wenzie ndio wana sponsor hao vijana wasiojitambua ili watunge hayo mashairi butu eti kuonesha kuwa watu wanamkumbuka!!! Kweli wapo wanaomkumbuka lakini ni wale waliofaidika na ufisadi wakati wa utawala wake kama nyie wakina Faiza Foxy na sio WATANGANYIKA wazalendo!!
 
Back
Top Bottom