Kikwete anastahili sifa

Rais Kikwete ni msikivu akipita hapa atafanyia kazi maoni yenu mimi nampa 5 kwa ustahamilivu wake maana ingekuwa che nkapa cdm mngekiona waulizeni wenzenu wa cuf hasa wazenji watakusimulieni kuhusi 2001
 
Wewe ***** nini? Kwa hiyo unafurahia mfumo ambao hata hivyo matokeo yake hayana faida kutokana na kutotumiwa kuwaadhibu waliokosea. Kweli akili za nyani hazimfai mbuzi.

Sasa kaa barabarani wewe na familia yako msubiri msafara wake mumpe sifa.

Ulitaka Kikwete aende mahakamani? kisha wawekea mfumo ambao unawaonesha madudu yako wapi, sasa ni ninyi kushinikiza madiwani wenu waanze kupeleka kesi mahakamani, ubadhirifu mkubwa unaanzia huko chini, au hujaisoma ripoti ya CaG?
 

Usiwe na fikra finyu, kwani zamani kulikuwa hakuna audited report? zilikuwepo lakini ilikuwa marufuku kuzijadili bungeni. Kikwete ndio kafunguwa hiyo, na ni yeye ndiye aliyesema ni mwaka mmoja tu, zamani zilikuwa zinatolewa baada ya miaka 5, kafumuwa yote ile system. Unafikiri serikali yake ilipata tuzo ya utawala bora kutoka umoja wa mataifa kwa kukisia?
 

Mwanzo nilikuchukulia juu juu, lkn sasa naona upuuzi wako haupaswi kupuuzwa. Msijitie ubingwa wa kumkosoa Nyerere, nakuhakikishia kuwa hata kama ni hali ngumu, basi ilitokana na hali halisi na sio uzembe. Hakukuwa na wasomi wala teknolojia tulionayo leo na exploitation ya resources zetu haikuwa ya kiasi hiki.

Huu unaoturudisha nyuma kwa sasa ni uzembe. Wasomi kibao lkn serikali legelege. Na hili la kusema enzi za Nyerere tulikuwa hatuna ruksa ya kusema nao ni upuuzi. Ulitaka useme nini?

Halafu sisi tulioko mjini story za Nyerere kuchoma Benki Kuu kwetu ni upuuzi
 
Better to stumble with toe than toungue.

Yaani we acha tu... Ritz, leo nasheherekea matunda ya uongozi bora kwa bia baridi hapa Udzungwa lodge. Nani kama JK na wapendwa wake?
 

Na itakuwa ni UMOJA WA MATAIRA hao hao ndio walimpa udaktari. Utawala bora na utawala wa sheria haviachani mbali: Na ndio maana polisi wanaweza kuua wafanya biashara kwa kuwaita majambazi na bado wanatesa uraiani.

Na nafikiri mwaka huu pia atapata tuzo nyingine ya utawala bora kwa:
1. Mauzo ya TWIGA Qatar
2. Kashfa za mawaziri kutafuna fedha za umma
3. Kuwa na mwanasheria mkuu anayeisimamia serikali kununua rada kimagumashi
4. Migao ya umeme inayotokana na rushwa na urasimu
5. Kufaulu kwa kilimo kwanza (kwa ujinga wako utakuwa hujui kuwa mpk sasa kilimo kwanza ni hadithi tu)
Kwa kweli ni mazuri meeeengi sana ambayo inabidi wewe na familia yako mumsifie kikwete, loh!

By the way, who are you? Manake inaonekana una akili sana wewe, no doubt utakuwa mshauri wake
 
Ulitaka Kikwete aende mahakamani? kisha wawekea mfumo ambao unawaonesha madudu yako wapi, sasa ni ninyi kushinikiza madiwani wenu waanze kupeleka kesi mahakamani, ubadhirifu mkubwa unaanzia huko chini, au hujaisoma ripoti ya CaG?

Kwani uliposema tumsifie ni yeye anayefanya hesabu za CAG?

Sasa tusifie nini basi? Tusifie mfumo au matokeo ya jumla ya kazi? Kweli wewe kilaza. Kwa hiyo ukiwa unasahihisha mitihani, yule aliyepiga mistari vizuuuuri ktk karatasi la majibu ndio shujaa wako hata kama baada ya hiyo mistari hakuandika jibu lolote?! Duh, kweli kikwete ana washauri
 
Yaani we acha tu... Ritz, leo nasheherekea matunda ya uongozi bora kwa bia baridi hapa Udzungwa lodge. Nani kama JK na wapendwa wake?

AAH Ukiwa kwenye payroll yake huoni baya. Sasa sisi wa kambo ndio kibano. JK Afanye mambo mawili tu nitamwona wa pekee moja atengue mikataba ya umeme pili ampeleke slaa mahakamani kwa kumchafua.
 
Apongezwe kwalipi kubwa alilo fanya?tunataka wezi wote wafikishe maakamani nawafungwe naku filisiwa sababu ushaidi wa CAG UPO.
 
AAH Ukiwa kwenye payroll yake huoni baya. Sasa sisi wa kambo ndio kibano. JK Afanye mambo mawili tu nitamwona wa pekee moja atengue mikataba ya umeme pili ampeleke slaa mahakamani kwa kumchafua.

Exactly! Yaani usipokuwa ndani ya circle yake imekula kwako. What a shame?
 

genius sana,sijapata kuona raisi kama huyu isipokuwa tz tu,KUWATETEA WEZI WA MALI ZA UMMA YAHITAJI U GENIUS KAMA WA JK
 
Hayo uliyoyaona uliyaona kabla? Huko unapopataja kuna hesabu za usalama wa Taifa ambazo haziwekwi wazi hata kidogo, wacha kuwa mzembe wa kufikiri.



wewe ndio uache uzembe wa kufikiri! utaratibu huu wa kutoficha uovu unatakiwa upongezwe acha ubwege na ushabiki wa kipumbavu ww
 
Apongezwe kwalipi kubwa alilo fanya?tunataka wezi wote wafikishe maakamani nawafungwe naku filisiwa sababu ushaidi wa CAG UPO.

acha ujinga wewe KIKWETE apongezwe kwani hata mtakatifu nerere alikua anaibiwa na kina amir Jamal na hakuwah kuthubutu hata kuhoji huyu KIWETE ameweza lkn hamuoni p....u sana nyinyi
 
[h=2][/h] [h=3]KAMATI KUU YA CCM YAAFIKI KUVUNJWA KWA BARAZA LA MAWAZIRI[/h]
Rais amepokea taarifa na maazimio ya Kamati ya wabunge wa CCM na Kamati ya uongozi ya wabunge wa CCM juu ya kilichotokea kwenye bunge lililopita mjini Dodoma.
Taarifa hizo zimewasilishwa kwenye kamati kuu na kujadiliwa. Pamoja na taarifa hizo kamati Kuu imepokea taarifa ya jinsi Rais alivyojipanga kuchukua hatua za kuwawajibisha mawaziri na watendaji wa serikali na wale wa mashirika ya umma waliobainika kuhusika na ubadhirifu ulioinishwa na taarifa ya Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za Serikali, Kamati za kudumu za bunge na wabunge bungeni.

Kamati Kuu imeamua yafuatayo; 1. Kamati Kuu inatambua na kuheshimu haki na wajibu wa wabunge kujadili utendaji wa serikali yao.Inapongeza juhudi za serikali kuhakikisha kuwa ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali inajadiliwa kwa uwazi na hivyo kuibua mapungufu yaliyojadiliwa.
2. Kamati Kuu imeridhika na imebariki uamuzi wa Rais KULISUKA UPYA BARAZA LA MAWAZIRI na taasisi zingine zilizoanishwa katika ripoti hizo. Imesisitiza utekelezaji wa uamuzi huo ufanywe mapema iwezekanavyo.
Aidha kamati Kuu imeipongeza Kamati Teule ya baraza la wawakilishi Zanzibar iliyoundwa kuchunguza utendaji katika sekta mbalimbali kwenye serikali ya mapinduzi Zanzibar kwa taarifa yao.
Kamati Kuu inawapongeza wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa jinsi walivyojadili taarifa hiyo na pia Kamati Kuu inaipongeza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kuipokea taarifa na kuanza kuifanyia kazi.
 

basi msifie SLAA mzee wa mashoreeeee!..
 
Ni kweli raisi anaweza akawa anastahili sifa lakini sio kama unazompa wewe sababu umezizidisha mno nway tuyaache hayo ya sifa...........Lini mtakuwa na fikra za kizalendo...acheni maswala ya kipumbavu, kila kinachotokea chenye maslahi kwa taifa mnaanza kuleta maswala ya kuibiana hoja.....Tuliona wote bungeni vyama vyote vilikemea haya mauzauza, sasa haya yote ya hoja ni ya huyu au yule yanatoka wapi...huo upuuzi hapo nyuma ulikuwa unafanyika ambapo unakuta vyama vya upinzani vinasema kitu fulani chama tawala kinapinga na mambo yako wazi kabisa....sasa wamejifunza nakuanza kuangalia maslahi ya taifa kwanza mnaanza kuleta story za kuibiana hoja....msiturudishe nyuma bana..acheni upuuzi wenu! Hoja haikuwa ya magamba wala nani ilikuwa ya wananchi tulio wachagua Rais mpaka mwenyekiti wa kitongoji!
 

wajinga wa kudadisi mnazaliwa kila siku... hii ni hatari!
 
Ndiyo anastahili sifa maana ni mpenda sifa mno. Ndio maana kila wakati anasubiri mpaka mwisho aone upepo unakwendaje ndipo anarukia jambo ili tu yeye ndiye apate sifa. Mwisho wa siku atahakikisha wengine wote wanachafuka na kubaki yeye tu msafi. Mimi namsifia tu kwa staili yake ya uongozi inayoiangamiza CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…