Kikwete anapomsahau first lady

Kikwete anapomsahau first lady

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
walid.jpg


Kikwete macho mbele kwa mbele wakati mzungu kishamtelekeza mke wake na kumshika mkono mke wa Kikwete. Duh macho yangu yanakiza au......?
 
Huyo bwana kashika sim, First Lady yuko nyuma na angle ya mikono yao haionekani kama wameshikana...
 
walid.jpg


Kikwete macho mbele kwa mbele wakati mzungu kishamtelekeza mke wake na kumshika mkono mke wa Kikwete. Duh macho yangu yanakiza au......?

Huyu bwana sio mzungu ndio wale waarabu wake anaowahonga maliasili yetu kwa kubadilishana na suti!!
 
makilo yamemzidia 1st lady anashindwa kutembea haraka sa JK afanyeje? Haya TISS si mpo humnu? mpigisheni zoezi huyo 1st lady
 
Suti aliyovaa na tai hovyooooooo!!
Ni kweli tai aliyovaa haiendani na suti kwani rangi tai inatakiwa ifanane na mavazi kama suruali,shati,koti au chochote kati hivyo sasa jamaa ameshindwa kupangilia vazi lake tehe!tehe!
 
Duh, "Blaza" kwa mapozi ya maphoto yuko vizuri, laiti tungetafuta mtu wa kutumia kwenye matangazo ya suti au miwani ya biashara, yuko vizuri Presidaa, hivi kwanini mtu anaweza akavaa akapendeza wee ukajua hata katika utendaji wake ni hivyo hivyo....
 
For every successful man, there is a woman behind. Kuna tatizo gani FL kukaa nyuma kuhakikisha mkuu anafanikiwa?
 
Sijapenda Mama Salma alivyovaaaa. Yeye vyake vitenge tu suti hapendezi kabisaaa.

p15.jpg
 
Sijapenda Mama Salma alivyovaaaa. Yeye vyake vitenge tu suti hapendezi kabisaaa.

p15.jpg

Hivi pale Magogoni hawajamwajiri designer kwa ajili ya kuwasaidia hawa mkulu na mu-wama kuvaa nguo zenye kuhakikiwa? Alivyovaa Salma ovyo kabisa na amechafua mwonekano wa picha. Wasanifu wa ulimbwende watamtolea nje mama Salma tofauti na huyo mke wa mzungu nguo zake zinaonekana kushabihiana na za mumewe. Za salma zinaumiza sana macho. Halafu kavaa kata mbuga wakati wenzake
wamevaa raba mtoni.
 
Back
Top Bottom