Keyword kwenye urais wa Tanzaia: FOREIGN AFFAIRS!
Mwinyi, Mkapa, Kikwete .... wote walikuwa Foreign Affairs.pipe dreams
Mwinyi, Mkapa, Kikwete .... wote walikuwa Foreign Affairs.
Kikwete baada ya kufanya mabadiliko ya mawaziri kuna kitu kimoja nimekiona
kiko very interesting.....January amebaki bado naibu Waziri still'
Ni kama vile amempuuza?
mbona amewa promote kina Simbachewene?Jenista?
kabla ya hapo alishm promote Nyalandu huku January akiwa haamini ameachwa still as naibu waziri..
Now January ni sawa tu na Anna Kilango wote ni manaibu waziri
imebaki miezi tu kwenda kwenye uchaguzi kama January haaminiki hata kupewa
uwaziri kamili ni vipi aaminike kupewa urais?
naona Team January wanapaswa kujiuliza maswali haya sana
wanaweza kampeni ya media vizuuri sana but wamesahau the basics.....
Katibu Mkuu 🙂🙂
Alikuwa katibu mkuu wa Foreign Affairs? Lini?
AmbassadorMwinyi alikuwa kama nani hapo Foreign Affairs?
Ambassador
ana skandali ya kuiba pepa la necta hadi kufutiwa matokeo huyu....mwigulu kashfa ya umri na gpa,zitto ananuka rushwa na usaliti,membe hana mvuto,migiro is unpopular,yani watu wa jk wote hawauziki.!!!
Egypt...Ambassador for/ of what? where? whom?