Kikwete anahusudu WAZUNGU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete anahusudu WAZUNGU

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mhafidhina, Feb 4, 2011.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Naona Raisi wetu yupo busy siku hizi kila kukicha kujihusisha na wazungu au wageni kutoka nje...!

  Siku hizi kama hajasafiri basi yupo busy ikulu akikaribisha wageni au yupo na mabalozi wao...! Hii inafanya watu wajisikie kudharaulika au kuona tumesahaulika...!

  Kikwete na Standard Charted CEO.JPG

  Kikwete with Standard Charted CEO  Kikwete and Rusian.JPG

  Kikwete with Russian Delegate
   
Loading...