mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,017
- 49,172
Si mara moja au mbili Kikwete ameomba miadi ya kukutana na Rais John Magufuli,mara zote hizo mheshimiwa Rais amekuwa akimkaribisha ikulu lakini akawa anajiuliza huyu jamaa kasahau nini ikulu,alipewa chopa impeleke msoga mchana,jioni akarudi nayo,sasa bila kumkatalia ombi lake mara zote ambazo amekuwa akiomba miadi.
Rais Magufuli amekuwa akiita vyombo vya habari karibu vyote kushuhudia mazungumzo kwa muktadha huo JK hujikuta hana cha kuongea zaidi ya kusifia utumbuaji majipu wake ,wadadisi wanadhani JK kuna kitu anataka kumwambia Magufuli ila mazingira yanakuwa hayamruhusu kwa kukosa faragha.
Maana kama ni kusifia utumbuaji majipu sio lazima mpaka uende Ikulu kumsifia