Bibli inawataka watu watii mamlaka katika mambo yaliyo haki na siyo wizi au utumwa au ukandamizaji!!!!
Mungu anataka tuwaheshimu wazazi katika mambo yaliyo mema na siyo dhambi!!
Mussa alilelewa na farao na kusomeshwa na farao (baba mlezi wake) lakini mungu alimpa mussa kazi ya kushambulia farao na kuwakomboa waislaeli katika utumwa mkubwa kwa mapigo kumi!!!
Watanzani wote tumesomeshwa na ccm na serikali yake lakini sasa tupo katika utumwa wa ccm unao ongozwa na rostamu aziz.!!!
Hatuna haki katika nchi yetu!!!
Rostamu na kundi lake wanatunyonya sana!!!
Sasa mungu kaanzisha mapigo makubwa kwenye serikali ya kikwete kung'oka ni rlazima!!!
Hatuwezi kutii serikali iliyoingia kwa nguvu madarakani!!! Kikwete kaiba kura!!!
Kikwete mhusika wa dowans, kagoda,richmon n.k!!!
Kumbuka wizi ni dhambi !!!
Yusufu makamba ana ufinyu wa bible analinda mafisadi!!!