Kikwete alipitia dirishani, sasa kaamua kulifunga?

Kama waandishi walihongwa ili wampambe JK na kuwachafua wagombea wengine,huo ni uthibitisho kuwa waandishi wetu ni wala rushwa na kama tujuavyo wale waandishi ndio leo wanajipambanua ni wapambanaji wa vita dhidi ya rushwa kwa nini tusiamini kuwa sasa wamepata Tajiri mwengine aliepanda dau ili wamchafue JK.kila siku wanaimba JK alihonga sasa wataje hayo makundi yaliyohongwa ili tuyajue tujitenge nayo (najua waandishi watakuwa Included kwenye hii LIST OF SHAME).Pengine waandishi wanaipinga hii sheria kwa kuwa wanajua Rizki yao mwaka huu imeota mbawa.

=========SongoroHivi ukikuta hii makala imeandikwa na Salva kwa ridhaa ya JK utasema nini?
 
Tunawahitaji watu wanaoweza kuuandika ukweli bila kuumauma maneno kama huyu. Waandishi wengi wako kibiashara sana hasa tunapoelekea uchaguzi.
 
Back
Top Bottom