Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,450
Nadhani uhusiani wa Kenya na Tanzania umeyumba,hili linapata back up ya maneno aliyotoa Raila Odinga wakati wa kampeni,aliwaahidi wakenya kurudisha uhusiano mwema uliokuwepo baina ya Tanzania na Kenya na hasa suala la trade kati nchi hizi mbili!
Kwasasa uhusiano wa Tanzania umeimarika na nchi kama Rwanda,Uganda na Burundi!Kwanini nchi hizo na si Kenya?
Ni wazi kuwa marais kwa 100% huchangia uhusiano kuimarika au kuporomoka!Wakati wa JK,tulikuwa vizuri na kenya ila tukawa tofauti na Rwanda?
Nini chanzo?
Museven,Kagame,Nkurunzinza na JPM wana nini in common mpaka kuwe na uhusiano mzuri?
JK na Uhuru wana nini in common mpaka wakawa na maelewano mazuri?
Maana ndege wafananao huruka pamoja!!!!