Mwana wa Mungu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2008
- 1,003
- 83
jamani, naomba kuuliza kwa wale wanaofahamu maana halisi ya "maalim", kwasababu kwa wale waliomsikiliza kikwete, aliitaja hiyo maalim kiushabiki fulani hivi sasa mimi sikumuelewa. Sina maana mbaya lakini kutu kinachonifanya niwe na dukuduku lazima nikiseme...kwasababu kwa kuongea kauli ile, ilionyesha kama vile anafanya ushabiki wa kidini vile...kuna mtu aliisikia vizuri ile kauli jamani? Ili tumrekebishe huyu rais aliyepitishwa na ccm?
Jirekebishe kwanza wewe na hizo hisia zako.Jamani, naomba kuuliza kwa wale wanaofahamu maana halisi ya "MAALIM", kwasababu kwa wale waliomsikiliza kikwete, aliitaja hiyo Maalim kiushabiki fulani hivi sasa mimi sikumuelewa. sina maana mbaya lakini kutu kinachonifanya niwe na dukuduku lazima nikiseme...kwasababu kwa kuongea kauli ile, ilionyesha kama vile anafanya ushabiki wa kidini vile...kuna mtu aliisikia vizuri ile kauli jamani? ili tumrekebishe huyu Rais aliyepitishwa na ccm?
maalim kapewa shavu, wenzake wanakula uduvi na urojo kwa kwenda mbele.
Hawa ni kama ile methali isemayo " waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba" lao moja muda ulikuwa haujafika tu.
Miaka hii mitano watatukamua kisawa sawa tukaze buti tu, maana ni mauaji ya taratibu haya tunakabiliana nayo.
Hao wanaoshabikia sisiemu sasa hivi utaona wanaanza kukunja sura zao muda si mrefu pale jua litakapozidi kuchoma hadi ktk mifupa.
Kuanzia sasa tutegemee yafuatayo:
1. Mfumuko mkubwa wa bei za vitu na kupanda kwa gharama za maisha.
2. Hali ya maisha kuendelea kudidimia siku hadi siku hasa kwa wafanyakazi wa ngazi ya chini.
3. Kupanda kwa gharama za usafiri, umeme na maji na hata kodi za nyumba.
4. Kupanda bei ya vinywaji na hasa bia ingawa idadi ya wanywaji itazidi kuongezeka siku hadi siku. N.k
hayo ni machache tu yapo zaidi
Jamani, naomba kuuliza kwa wale wanaofahamu maana halisi ya "MAALIM", kwasababu kwa wale waliomsikiliza kikwete, aliitaja hiyo Maalim kiushabiki fulani hivi sasa mimi sikumuelewa. sina maana mbaya lakini kutu kinachonifanya niwe na dukuduku lazima nikiseme...kwasababu kwa kuongea kauli ile, ilionyesha kama vile anafanya ushabiki wa kidini vile...kuna mtu aliisikia vizuri ile kauli jamani? ili tumrekebishe huyu Rais aliyepitishwa na ccm?
Kwani Zanzibar hakuna wakristo?JK kama alikua na ushabiki wa dini hilo sijui, ila kama Muislamu mpenda dini yake, lazima atakua anapenda watu wenye imani yake ,haswa ukizingatia amekuzwa kwa kuamini Usilamu ndio jibu la kufuka peponi, hapo sioni tatizo.
Kutajwa kwa Maalim Seif ,sidhani kama alikua analenga udini zaidi, nadhani alikua anapiga dogo kwa CHADEMa kwamba hata wakitoka nje na kumpinga, yeye teari ni raisi na wako pamoja na chama cha upinzani.
Viongozi wajuu wa serikali ya JK kuwa waislamu hilo na dhani halina udini, maana Ukiangalia isingewezekana kupata makamu wa raisi toka Zanzibar akawa Mkristo. kajaribu ku balance kwa kumteua waziri mkuu wa dini nyingine.