Kesi inayoondelea mahakamai dhidi ya aliekuwa balozi wa tz mjini rome prof Mahalu...leo katika utetezi wake kasema kuwa raisi kikwete by then waziri wa mambo ya njealijua na akabariki ununuzi wa jengo la ubalozi wetu Italy ambalo lilipelekea aliekuwa balozi wa wakati huo Prof mahalu kushtakiwa kwa kuliingizia taifa hasara ya mamilioni ya Euro....
Prof mahalu katika utetezi wake kasema KIkwete alipokuwa waziri wa mambo nje mnamo mwaka 2001 alitembelea nchini Italy na kukagua mjengo huo.....na aliuliza iweje ununuzi wa jengo uwe na mikataba miwili akaambiwa ni kawaida kwa ununuzi wa majengo ya bei nafuu kama lile......
Kikwete alijua alikagua jengo na kuambiwa jengo lina mikataba miwili.....na kama aliona mkataba ina maana alijua hata hela govnt itakayolipa.....ina maana hata yeye alishiriki huu ubadhirifu.....Suala si Kikwete kujua, kesi inayomkabili Prof.MAHALU ni ubadhilifu wa fedha uliofanywa ambao Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya nje inawezekana hakuujua.
Tafadhali hebu chukua taimu kidogo usome kilichoandikwa na haya majibu yako, wapi na wapi! Kikwete alijua na alibariki kama alivyojua ya Richmond na kubariki. Alitembelea Italy kabla ya ununuzi wa jengo kama alivyotembelea Houston Texas, USA kabla ya mkataba wa Richmond.Unategemea kuwa yeye kama Waziri wa mambo ya nje asingejua kuwa kuna ununuzi wa jengo? au unataka kutuambia nini?
Suala si Kikwete kujua, kesi inayomkabili Prof.MAHALU ni ubadhilifu wa fedha uliofanywa ambao Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya nje inawezekana hakuujua.
Kikwete alijua alikagua jengo na kuambiwa jengo lina mikataba miwili.....na kama aliona mkataba ina maana alijua hata hela govnt itakayolipa.....ina maana hata yeye alishiriki huu ubadhirifu.....
True, this is too much. Kila siku Kengemumaji kazi yake ni kumtetea Kikwete...dont you see where our beloved country is headed to? Remember the buck stops with the President!This is too much, kila siku wana JF tunaokoteza okoteza tu mambo yanayomhusu Kikwete... don't we have other important issues than these as Great thinkers?
This is too much, kila siku wana JF tunaokoteza okoteza tu mambo yanayomhusu Kikwete... don't we have other important issues than these as Great thinkers?
Kwani kuna lipi linalotolea kwenye uongozi wake akalijua?
Kwani hao akina magufuli wao wanajuaje uozo unaotokea kwenye vizara na kuufanyia kazi Kikwete asijue yatokeayo kwenye vizara yake? Wizara kaiongoza miaka 10 na bado uozo unatokea hajui!? Yaani kaenda katembelea jengo, kaoneshwa hati mbili tofauti za jengo moja nae anacheka cheka tu na kutoa go ahead jengo linunuliwe. Tena kuonesha kuwa alilijua hilo dili, alipoenda kutembelea hilo jengo na kuuliza inakuwaje lina hati mbili akajibiwa kuwa nyumba za bei poa Italy huwa zina hati 2 2, bila hata kufikiri nae akakubali tu akatoa go ahead nunua.
Mahakama inatakiwa kumwita mahakani aje atoe ushahidi bana.
Jamani hii ishu kumuhusisha JK tutakuwa tunamuonea tu.
Angalieni uwezo wa upeo wake, hana critical mind, hata kama aliona mikataba 2, i am sure aliona ni kama makaratasi mengine tu.
Historia inaonyesha JK hakuwa mtu wa madili au mishemishe, yeye zake zilikuwa totoz.
Sasa ukichanganya hulka yake na uwezo wa upeo wake, kwa ili tunamuonea...
Kujua habari za ununuzi wa jengo hakuepushi mahalu kumdanganya waziri wa mambo ya nje (kikwete) by then. Labda angesema Kikwete alijua udanganyifu huo ndio tungehoji kuhusika kwa JK.