Kikwete, akutukanaye hakuchagulii tusi!

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,708

Picha hii weka maneno yako mwenyewe kuhusiana na Kanada kumpa zawadi ya jezi rais Jakaya Kikwete.
 
Sasa si bora angekwenda kule uswis kuchek ile minoti yetu kaweka nani? Au na yeye yumo?
 
Sijawahi fedheheka kiasi hiki, sijui kwa nini leo nimejisikia vibaya juu ya hii picha hata ikiwa kwamba nimezoea mambo ya huyu Mheshimiwa lakini hii hapana.
 
Kama safari tu atazipata nyingi sana kwani wameona kuna mafuta,gesi,almasi,gold uranium

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…