Labda umechoka wewe na familia yako! Usitusemee mkuu
Mkuu umenena kweli. Mazungumzo yanafanyika mezani. Kwa jinsi wakivyokaa utadhani ni kubadlishana tu mawazo na kunywa kahawa! Mkuu lingine ni kwamba kama kuna mazungumzo ya pande mbili tunategemea kuwe na communique ya pamoja na siyo huyu aende aseme tuliongea hivi na huyu aseme aaaah tuliongea hivi.Imeeleweka wazi kama mwanzo wa kuinadi sheria aliyoisaini Kikwete ya kutunga katiba mpya, umekuwa ni mwanzo
mgumu sana na mkwamo kwa Serikali ya Ccm. Kwa matokeo yaliyokwisha jitokeza Musoma na Mbeya.
Kisiasa Dr. Slaa kukutana na Kikwete, huo ni mfumo wa siasa ambao unafanyika na unahitajika kuendelezwa,
katika kuifungua zaidi Demokrasia Tanzania. Ila tu pale magogoni mfumo wa kukaa kimaongezi unahitajika kubadilishwa,
na isiwe kifalme zaidi, bali Kidemokrasia zaidi kwa kuchanganyika kwenye meza moja kwa upande wa kulia na kushoto,
Kilichozungumzwa, kilichoajiri na makubaliano kati ya Serikali na CDM hatukijuwi. Tunachosubiri ni taarifa rasmi kutoka
kwa Mkurugenzi ya Habari na Uwenezi wa CDM. Ili tuweze kujadili.
La kushangaza pia katika moja ya hayo maandiko alisema kuwa jamaa Afya mgogoro. Akawataka walio karibu na Lowassa wamshauri apunguze kunywa maji ya uhai....Umeshawahi kuandika mara nyingi hapa ukimpigia debe Lowassa sijui ni kipi unachokiona kwa Lowassa hata uone kwamba anastahili kuwa the next President wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Habari kutoka source ya kuaminika zinasema jk yuko kwenye meeting na dr slaa ikulu mida hii
My take:naona jk anajaribu kuomba ushauri nchi imekuwa ngumu last wek ilikuwa mboye leo dr slaa
Picha bidae
KAFU kweli hawatalia na wao wanataka ?
JK anawezaje kukutana na Chama cha msimu ? Chama cha Kikanda ? Chama cha ruzuku ? Ana hofu gani ?
meningitis ni jina la ugonjwa unaoshambulia uti wa mgongo hivyo sishangai kuniita kuwa mimi ni mtu wa Mwanza na sio Mbeya!. Na kwa upande wa hili lisura langu siwezi kuliweka popote zaidi ya humu jfyule mbea weti pasco cjui ataweka wapi lisura lake
WanaJF,
Nawashukuru wote wanaofuatilia thread hii. Nawaomba kwa mara nyingine muwe na amani. Nawahakikishia hakuna wala hakutakuwa na usaliti. Chadema iko makini sana. Tunasukumwa na uzalendo na nia njema kwa Taifa letu.
Aidha kama alivyosema MMJ, tumekuwa tukisukuma mabadiliko makubwa katika Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kabla Rais hajateua Tume ya kukusanya maoni. Tulieleza wazi kuwa vinginevyo hatutashiriki mchakato wa kukusanya maoni.
Ni dhahiri busara ya kawaida inataka tupate progress ya majadiliano hayo hayo na utekelezaji wake. Katiba nzuri ndio afya na uhai wa Taifa hata kama si ufunguo wa matatizo yote yanayotusibu leo. Wakati mwafaka utakapofika tutatoa Taarifa kwa umma.
Msiwe na hofu mtuamini.
is that good or bad?chadema&ccm are two sides of the same coin
Chadema&ccm are two sides of the same coin