Kikwete akisakata dansi kwenye Tv.

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,087
Reaction score
10,770
Nimeongia kwenye Tv Mpya hapa kwa jina JTV mara namuona JK akisakata rumba huku anakula popcorn!

Nimejiuliza ni tangazo la biashara au jamaa ana ubia na tv hii?

All in all jamaa yuko vizuri sana kwa steps za muziki hadi Mwakiembe anabaki kushangaa tu hapa!

Big up JK.
 
ooooouukeeeiiiiiii.....................
 
Atakua anashangilia baada ya kuona bulldozer linavyotukomesha mtaani huku. Au ukute nae anaisoma namba kimya kimya
 
Huyu jamaa iko simple sana hananga makuu ataisha maisha marefu sanaa .......viongozi wenye stress visasi chuki nk mjifunze kutoka kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…