Kikwete Akijilipa "Dowans" Na Hela Zetu, Tunaingia Porini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete Akijilipa "Dowans" Na Hela Zetu, Tunaingia Porini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jan 9, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Wala siyo siri. Serikali ya JK ikijilipia kupitia Dowans na hela zetu za kodi, watambue wazi kabisa kwamba tunaingia porini, au tunaanza vita. Tumechoka kudhulumiwa
   
 2. M

  Masauni JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani tungekuwa na jeshi la wasomi, wenye uchungu na nchi, tanzania isingekuwa mikononi mwa mafisadi mpaka leo.
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kweli kabisa
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,599
  Trophy Points: 280
  Jeshi Wananchi,UWT na mengineyo yamepoteza focus.....wanafikiria wapo pale maslahi ya walio madarakani....wanadanganywa vitu vidigo vya kijinga....bia bei cheee maduka yao yale baasi hawana ucngungu na nchi.....sijui hata wanafanya nini
   
Loading...